Watanzania
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 727
- 44
wabunge wa ccm wapige kura ya chuki
kweli? tusubiri tuone , taifa kwanza chama badaye, na huyu mama ana abdallah yeye anataka nini? hazeeki tu?
kawaida yetu kusahau mpema, shamaba la bib hilo.....Siku 10 tu zimepita na tayari wana JF, the great thinkers wameishasahau kwamba ccm iliba uchaguzi. Kama ccm imeweza kuiba uchaguzi mchana kweupe mbele ya waangalizi wa kimataifa na kitaifa, watashindwaje kuchakachua uchaguzi wa spika ndani ya jengo? Hapa kumbe hakuna great thinkers ni polojo tu! Chadema watashinda uspika endapo tu kikwete ameamua kumpoza Dr. slaa katika mkakati wa kutibu madonda, vinginevyo forget it.
Siku 10 tu zimepita na tayari wana JF, the great thinkers wameishasahau kwamba ccm iliba uchaguzi. Kama ccm imeweza kuiba uchaguzi mchana kweupe mbele ya waangalizi wa kimataifa na kitaifa, watashindwaje kuchakachua uchaguzi wa spika ndani ya jengo? Hapa kumbe hakuna great thinkers ni polojo tu! Chadema watashinda uspika endapo tu kikwete ameamua kumpoza Dr. slaa katika mkakati wa kutibu madonda, vinginevyo forget it.
huko bungeni kwani hakuna nguvu ya umma? Kusimamia uchaguzi wa spika kuna macho mengi yanaangalia. Nina imani haitakuwa rahisi kuchakachua. Kuiba kura uchaguzi wa wabunge na rais kunatokana na kukosa waangalizi wa kutosha wa kulinda kura. Huko bungeni kuna watu wengi wa kutosha kuzuia wizi wa kura.
mmeshaanza tena, uchaguzi wa rais mlisema mtashinda kwasababu mngelinda kura zenu lakini wapi!! Sasa mnaanza kujinadi na ushindi wa spika halafu mkiukosa nahakika mtadai uchakachuaji!!!!!
jamani sasa tumechoka na porojozenu!!!!
Porojo? Lazima watakuwa wanakudo
kwa heshima ambayo dr. Slaa imejijengea katika taifa letu na hata kwa wabunge wa chadema na ccm kuna uwezekanno mkubwa kuwa chadema watatoa spika wa bunge mwaka huu.
Dr. Slaa anao mtandao mpana ndani na nje ya chama chake. Pia kuna mtandao wa vijana ambao zitto anao ndani na nje ya chadema. Ni dhahiri kuwa uspika kutoka chadema ni jambo la kutegemewa sana. Kama hii haitoshi, wabunge aina ya mwakyembe, sitta, kilango malecela na wapigaji wengine ndani ya ccm hawawezi kamwe kumpigia anna makinda kura ambaye ataendeshwa na wakubwa wa ccm wanaotetea ufisadi. Bado kuna wabunge wa chadema waliokihama chama chao na kuingia ccm nao wanamtandao mpana ndani ya ccm. Wote hawa wataleta kura za uspika kwa chadema. Huu ni mwaka wa ushindi.
tUWE REALISTIC JAMANI... HII PEOPLE'S POWER INATOKA WAPI... WANAOPIGA KURA NI WANACHI WA KAWAIDA AU WABUNGE?pipozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Nahisi chichiem wamejikaaaaaaanga!