Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Wanatumia vyombo vya usalama vibayaHawa ccm ni wapuuzi tu na mh Magufuli umekaa kimya tukueleweje?
Ccm wanawajengea wana Dar hasirasemeni watu tuingie street...Arusha walifanya kitu hadi leo CCM ni historia kule
Watakuwa washalamba posho!...2020 sio mbali Dar haitachaguwa mateja.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesusia ziara ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika manispaa za Temeke, Kinondoni na Ilala na kuthibitisha kutoshiriki katika kikao cha bodi ya barabara kinachotarajiwa kufanyika kesho.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesusia ziara ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika manispaa za Temeke, Kinondoni na Ilala na kuthibitisha kutoshiriki katika kikao cha bodi ya barabara kinachotarajiwa kufanyika kesho kwa kile wanachodai kushinikiza kuachiwa kwa madiwani na mbunge ambao wanashikiliwa na jeshi la polisi.
Akielezsea hatua hiyo Meya wa Manispaa ya Kinondoni Boniface Jacob amesema kuwa hawaoni sababu ya kuendelea na vikao mbalimbali vya jiji wakati hawajui hatma ya wenzao ambao mpaka sasa wanashikiliwa na polisi na wengine wanaitwa kufika kituoni hapo kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kusababisha fujo katika zoezi la uchaguzi wa meya wa Jiji la Dar es Salaam.
Kikao kikubwa cha kujadili mipango ya maendeleo ya jiji la Dar es Salaam kinatarajiwa kufanyika kesho ambapo mada kuu itakuwa ni ujenzi wa barabara katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam.
Unamaanisha ccm itatoka kapa Dar kama ilivyofanywa kinyume na maumbile huko kwingine?Watakuwa washalamba posho!...2020 sio mbali Dar haitachaguwa mateja.
Hao wanao fanya figisu figisu yani ccm ndio wanalamba poshi na hawataki makandokando yao walio fanya yajulikaneWatakuwa washalamba posho!...2020 sio mbali Dar haitachaguwa mateja.
Umemjibu sawa bin sawia huyo buku sabaUnamaanisha ccm itatoka kapa Dar kama ilivyofanywa kinyume na maumbile huko kwingine?
Lema alipokuwa akiandamana kudai haki kuna watu walikuwa wanasema kuwa analeta fujo yanayotokea Dar ni kama Yale yaliyotokea arusha . Kinachotakiwa ni kufuta na kudelete Ccm kabisa 2020 . Ili chaguz za meya ziwe za amaniCcm wanawajengea wana Dar hasira
Ccm wanatumia vyombo vya ulinzi kuandamanaLema alipokuwa akiandamana kudai haki kuna watu walikuwa wanasema kuwa analeta fujo yanayotokea Dar ni kama Yale yaliyotokea arusha . Kinachotakiwa ni kufuta na kudelete Ccm kabisa 2020 . Ili chaguz za meya ziwe za amani
Ubabe wakipuzi unatakiwa uwe na PhD ya upumbavu na ujinga ili uweze kuwaelewaCCM ni janga saizi wamekua wababe kupindukia
Asante sanaNaona kwa mara ya kwanza Rais wa awamu ya tano atakuwa madarakani kwa muhula mmoja tu.Naona kama vile January atakuwa mgombea wa kijani na Edo upande wa wananchi.
Wameishiwa pumzi walichobakiza nikutapatapa tuuccm inaelekea kukata roho , haya mnayoyaona ni kama mgonjwa kurusha miguu .
Bila Meya?Wasuse tu
Naamini ndio kitakuwa kizuri kisicho na Watoto