Chadema Kupuuzwa chanzo ni nini?

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Posts
21,776
Reaction score
34,761
Ninajitolea kwa dhati ya moyo wangu na kwa nguvu zote kufanya research kwa nn chadema imepuuzwa na wananchi. Na kwa nn wananchi wameamua kuiunga mkono serikali

Nitaandaa makala zote kwenye ziara zao walizozunguka nchi nzima. Naamini research hujibiwa kwa research, hivyo vijana wa ufipa kazi kwenu kuaandaa research naomba msije na majibu ya jumla jumla

Kwa kuanzia tu kilichotokea leo ni aibu kubwa sana. Makala ya kisomi iliyosheheni inakuja.

 
Ninajitolea kwa dhati ya moyo wangu na kwa nguvu zote kufanya research kwa nn chadema imepuuzwa na wananchi. Na kwa nn wananchi wameamua kuiunga mkono serika...
Habari yako haijitoshelezi maan tunaona bodaboda na maandalizi tu, ni vzr ungechukua picha au video mkutano ukiendelea!!
 
Pengine hiyo picha ilikuwa ni ya mapema kabla ya tukio.

Kuna mdau kaanzisha thread muda mchache na picha kaweka


Ukiangalia hizi picha unaona mwanga wa jua ila hizo zako hakuna jua means ilikuwa ni asubuhi kabla ya tukio
 
Wewe mwenyewe unawakubali ndio maana umeanzisha uzi kuwasemea. Punguza unafiki
 
Kwahiyo hii ndio nyomi ya Chadema? Kweli mmeisha!!
Kuna chama kinazidi CHADEMA kukaza watu kwenye mikutano. CCM ilijaribu ikashindwa. Ikabidi wamtumie Katibu Mkuu kusomba watu kutoka mikoa mingine kwenye mikutano yake.
 
Watu wamechoka vijembe, wanataka hoja za kutatua kero zao, na bado wataendelea kuwatosa, maana kwa aina ya sera zao walizo nazo kwakweli kama unajiheshimu huwezi vumilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…