Distinction
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 747
- 399
sema nae usione soo, unaweza kuta ikawa bahati yako aisee.. tukaanza kukuita shemeji ila sasa ukubali kushikwa masikio.Ila Ester bulaya ndo funga kazi jamani, bulaya nampenda sana, ana mvuto sana!
Kwa nini anishike masikio?sema nae usione soo, unaweza kuta ikawa bahati yako aisee.. tukaanza kukuita shemeji ila sasa ukubali kushikwa masikio.
Huyu ananifanya nisiweze kuona mapunguvu yake kwenye wizara yake, wakati kila siku wagonjwa wanakufa kwa kukosa madawa....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mungu anakuona.Ameolewa na ana watoto kadhaa..kipindi hicho anatupiga pindi alikuwaga mjamzito hapo ndo wengi tulipokatika stimu! [emoji3][emoji3]
Mkuu nimeshawahi kuvurugana na wife kisa kumsifia huyu mama, sijui kwanini huyu mama sura yake ninamkubali sanaView attachment 511438
Inapokuja suara la sura, Kairuki weka mbali na watoto.
hautakuwa na sauti otherwise na wewe umzidi kwa vyote alivyo navyo.Kwa nini anishike masikio?
Namzidi uanaume, hana namna hapa lazima awe mdogo tu!hautakuwa na sauti otherwise na wewe umzidi kwa vyote alivyo navyo.
okay, mkuu kila lakheri nakutakia mafanikio mema.Namzidi uanaume, hana namna hapa lazima awe mdogo tu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]WAPINZANI TUPO VIZURI JAMANI.
KAMA HUYO TUNAMUWEKA WAZIRI WA MAMBO YA NJE........... MISAADA INAKUJA KWA MAGUNIA NA MAKONTENA........ KUMBAV.
SIO UNAWEKA WAZIRI PALE JICHO MOJA LINAANGALIA KULIA LINGINE KUSHOTO..
Yuko vizuri by the way,Mbunge wa Tarime mjini Ester N. Matiko
Mume wake ni Daktari, ana watoto Naye wawili , msichana, na kavulana.Ameolewa?!
Huyu nani tena mkuu?
Mbunge wa Tarime mjini Ester N. Matiko
Huyu ananifanya nisiweze kuona mapunguvu yake kwenye wizara yake, wakati kila siku wagonjwa wanakufa kwa kukosa madawa....
Mkuu nimeshawahi kuvurugana na wife kisa kumsifia huyu mama, sijui kwanini huyu mama sura yake ninamkubali sana
Una chuki mpaka kwenye mambo ya utani? Nyie ndio mnaweza kukipa sumu kijiji kizima kwa vile tuu wamechagua kiongozi sio wa chama chakoDemu mwenyewe chibonge!