...mimi naamini kuwa NGUVU ya CCM, Uimara wake na UTENDAJI wake utakuwa bora zaidi kukiwepo Upinzani Madhubuti, ambao utawakumbusha CCM wanapojisahau..
Nikisoma Comments zako siku zote namalizia kwa sala maalum kwa ajili yako.kazi gani....
wakati hata ajira huna...na umeshindwa kujiajiri...
acha ujinga...kazi huna na unasema hapa kazi tu...kazi gani
Hapo pamenifikirisha!
- Leo pasingekuwa na upinzani barabara zote zingekuwa za vumbi au?
- ILANI na SERA za chama ziko wapi hadi tutegemee upinzani kutuongoza?
Well, leo niko kiamani zaidi... #hubiriAmani kuna maisha baada ya Oktoba25.
Jamani ukweli utatuweka huru.
Anayoyasema Shonza yana harufu ya ukweli ndani yake.
Tusitangulize mahaba mbele tutakuwa hatujengi Bali tunabomoa.
Dah! Wapigakura wa wapi hao wanaokupeleka Bungeni? Vipi ni Wapumbafu na malofa kama siye wengine au unasubiria zile vitu vya zawadi?.
Hapo pamenifikirisha!
- Leo pasingekuwa na upinzani barabara zote zingekuwa za vumbi au?
- ILANI na SERA za chama ziko wapi hadi tutegemee upinzani kutuongoza?
Well, leo niko kiamani zaidi... #hubiriAmani kuna maisha baada ya Oktoba25.
Nasikitika Sana kuona neno utafiti likitajwa kienyejienyeji tu. Shonza na wengine wanaouchukulia utafiti ni km mzaha ndio wanaoshusha hadhi ya tafit za Tanzania. Wewe shonza unaongelea utafiti gani ulisema kukubalika Kwa CDM kumepungua???sample size ilikuwa ngap? Sampling unit waliifikiaje na utafiti huo accuracy na precision take ipoje?msituchafulie fani. Mtu kakaa kijiwen kaskia watu wanaponda au kusifia chama flan anakurupuka na kuita utafiti kweli??BEN SAANANE..unamuita BEN aje kunijibu mimi..? tena kuijibu HOJA ya Ombwe la Uongozi ndani ya CHADEMA..? Labda nisema katika usiyoyajua. BEN ni miongoni mwa watu ambao hawaamini katika Uongozi uliokuwepo sasa ndani ya CHADEMA, nimezungumza nae mengi lakini pia tumeshirikiana kulieleza hili nikiwa ndani ya CHADEMA, ingawa mwenzangu alifanya KIUNAFIKI, alitawaliwa na woga na ubinafsi.
Na kuhusu kuwazungumzia makundi mengine, unaweza kwenda kujiridhisha kwenye tafiti mbalimbali zinazoendelea kuhusu kukubalika kwa vyama vya siasa na makundi mbalimbali ya kijamii..kisha angalia makundi hayo ya Wasomi, Wanataaluma na Watumishi wanaikubali kiasi gani CHADEMA..sio unatokwa na povu tu hapa, jiridhishe kabla haujatetea uozo.
Taratibu kamanda..,umekuja kwa hasira sana..povu linakutoka na spelling unakosea. Taratibu Kamanda.Nasikitika Sana kuona neno utafiti likitajwa kienyejienyeji tu. Shonza NA wengine wanaouchukulia utafiti ni km mzaha ndio wanaudhusha hadhi yabtafit za Tanzania. Wewe shonza unaongelea utafitingani ulisema kukubalika Kwa CDM kumepungua???
Kwa tafsir yako Tafiti ni nini..? Kwangu mimi yale majibu ya TWAWEZA, SYNOVATE na LOTUS ni majibu ya kitafiti.,yanatuambia kuwa nani anauelekeo gani katika uchaguzi huu.
Haya hata maoni ya BBC nayo haujishughulishi nayo..? Au nao wamenunuliwa na CCM..?
Hilo andiko lako linamuongezea vipi Magufuli Kura????
AMANI IWE JUU YENU ENYI WAJA WEMA WA BWANA MUNGU WANGU...!!
Katika muendelezo wa kuwafikirisha, nimeona leo niwaandikie kuhusu hali ya Upinzani na kampeni zinavyoendelea hapa nchini, ambapo hali ya sintofahamu ikiendelea kudhirihi kwa CHADEMA na Kambi yote ya Upinzani hapa nchini, wachambuzi mbalimbali, wasomi na waandishi wameendelea kuandika wakijaribu kuonyesha tatizo lililoikumba kambi hiyo, wengi wao wakisema FEDHA, vipande vya rupia vilivyoingia CHADEMA vimewafarakanisha. Nami Binafsi ktk muendelezo huo huo wa kuchambua hali hiyo nitaeleza CHANZO ama SABABU halisi ya SINTOFAHAMU inayoikumba kambi ya Upinzani.
Kwa Muhtasari sana, niseme CHANZO na SABABU HALISI ya Upinzani kukosa muelekeo na kufikia hapa tulipo ni OMBWE la UONGOZI katika kambi hiyo ikiongozwa na CHADEMA..Mimi niliwahi kuwa mwanachama wa CHADEMA, tena Kiongozi Mkubwa katika jumuiya yake ya Vijana, nilipata fursa ya kushiriki, kuhudhuria na kuchangia katika vikao na mikutano mikubwa, muhimu na nyeti ya Chama hicho.
Ilikuwa bayana kwetu kuwa, ilipofikia CHADEMA ilihitaji UONGOZI mpya utakaokuja na dira, maono na tafakuri mpya ambayo ingeki-transform chama hicho kuwa chama kamili cha siasa na kuondoa uongozi wa hamasa na mihemko ya kiuanaharakati..
Nikiwa ndani ya Vikao vya CHADEMA nikaliweka hili BAYANA kuwa tunalo ombwe la uongozi ndani ya CHADEMA, sikueleweka, nikaonekana natishia maslahi ya wakubwa na nafasi zao kwenye Chama, nikaonekana ADUI na nikapewa jina MSALITI.
Ukweli ni kwamba FEDHA ambayo leo imetajwa mara kadhaa kuwa ndio sababu kuu ya mfarakano ndani ya CHADEMA, imepata njia kutokana na Ukweli kuwa CHADEMA kuna Ombwe la Uongozi ambao umekosa Vision na Mission, ndio maana wakadhani FEDHA na UMAARUFU wa mtu ni mtaji wa wao kuingia Ikulu, wakasahau misingi, dhamira, imani na kiu ya Watanzania.
CHADEMA haina tabia ya kujitafakari, haijisahihishi, na wamezoea kuishi kimazoea, wanadhani kila siku ni jumapili na kila walisemalo watanzania watalikubali tu madhari limesemwa na wao, na kwamba kila muongeaji basi anasikilizwa. SIO HIVYO...!!
Leo waongeaji wa CHADEMA na WATETEZI wakuu kwenye mitandao ni YERICKO NYERERE, A man with 0.001 IQ, Anaishi katika uongo na uzushi, mpaka kila mmoja amemmpuuza, Mwanakijiji, Chahali na WATABE wengine wa maandishi yenye adili, wameikacha CHADEMA, bado CDM haijiulizi, inajivunia kuwa na YERICKO. Wasomi, watumishi, na wanataaluma wameikacha CHADEMA, bado CDM haijiulizi, wanajivunia madereva bodaboda.
Moja ya sifa ya Mwerevu, ni yule ambae haumwi na nyoka mara mbili, anayejikwaa akaanguka kisha asiishie kuangalia alipoangukia bali hugeuka kwa umakini na kutazama alipojikwaa, ni nini hasa kimemuangusha..Popularity ya CHADEMA na Upinzani imeshuka na inaendelea kushuka kwa kasi, HAWAJIULIZI.
Viongozi wameacha kuchangia hoja za msingi ndani ya Vikao, wameshikwa na woga na wengine wamesusa, Mwenyekiti Mbowe ambae Mimi binafsi nilishamuita ZERO tukiwa ndani ya Kikao changu cha Mwisho nikiwa KAMANDA wa CDM, ameendelea kwenda Mrama kwa kasi ya ajabu...kila jipya analoliamua ni baya kuliko la jana..
KUPOTEA...hivi unajua tafsir ya neno kupotea..??
Subiri shughuli yangu utaiona BUNGENI...MTANYOOOKA tu.
Tangu lini mtaraka akmsifiwa mme aliyemuacha, wenye akili wanajua kinachoendelea. Kama ulikuwa kiongozi mkubwa huko Chademe tujulishe huko ulikokimbilia una cheo gani ili udhihiridhe ubora wako. Hakuna mwenye akili hata mmoja anayeweza akasema kwa sasa mambo yanaenda kombo Chadema. Sikiliza mziki tarehe 25/10 kuna watu watalia.