CHADEMA kukaa Kikao cha uchaguzi wa Kanda ya Pwani Msimbazi Centre

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,484
Mkutano Maalum wa Baraza la Uongozi Kanda ya Pwani ambao utafanyika leo Jumapili, Machi 19, Ukumbi wa Lamada Hotel, karibu na Msimbazi Centre.

Mojawapo ya agenda itakuwa ni Uchaguzi wa Uongozi wa Kanda ya Pwani katika nafasi za Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Mweka Hazina.

Vyombo vya habari na waandishi wanakaribishwa kuanzia saa 6 mchana hapo Lamada Hotel.

UCHAGUZI KANDA YA PWANI - Majina ya Wagombea;

*1. Nafasi ya Mwenyekiti*
a) Mhe Gango Kidera
b) Mhe Frederick Sumaye

*2. Nafasi ya Makamu Mwenyekiti*
a) Mhe Adolf Mkono
b) Mhe Saed Kubenea (Mb)
c) Mhe Muslim Hassanali

*3. Nafasi ya Mweka Hazina*
a) Mhe Florence Kasilima
b) Mhe Lucy Magereli (Mb)
c) Mhe Ruth Mollel (Mb)

Kikao cha uchaguzi wa Kanda ya Pwani, kitaanza saa 8.30 mchana huu, Lamada Hotel karibu na Msimbazi Centre. Karibu sana.

Makene
 
Kwenye nafasi ya makamu,mwenye majina mawili yalioungana aende akahikiki vyeti vyake vya kuzaliwa asije pewa kesi ya kama ya manji!
 
Back
Top Bottom