Actually mfumo wa vyama vingi Africa upo kwa nguvu ya wahisani/mabeberu tu.
Hata mchakato halali ukifuatwa wa kufuta upinzani kwa maana ya bill bungeni hamuwezi hata kuzuia chochote.
Nashukuru sana kama mnaujua ukweli. Lakini Kumbuka hata CCM hapa ilipofika ilitumika nguvu kubwa sana kuibadilisha. Ni vigumu sana kubadilisha mazoea na imani ya mtu ambayo ameiwekeza sehemu kwa miaka, halfu utake kuibadilisha kwa siku moja. Ila taratibu tutaelewana tu.Ni kweli kabisa boss, ila ukweli tunaujua japo inatumika nguvu nje ya uhalisia kufikia hilo hitimisho lako.
Hata vikifutwa vyama vyote vya siasa , upinzani upo palepale.Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta CHADEMA kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu.
Je, hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?
Ongeza sauti. Kuishabikia CCM ni kinyume na mafundisho ya kidini.Upinzani unaanzia moyoni na sio Kwenye chama hata kama watafanikiwa wakaifuta haitasadia kituuu...
Imani yetu inatuambia kuwa kuishabikia CCM ni haramu
Ngoja aendeleze ujinga , mwisho wa siku na yeye tumfuteAnakimbiza upepo, badala ya kuwaza kufuta umasikini unawaza kufuta upinzani.Ameikuta ataondoka Kama upepo na atakiacha Kama alivokikuta.
Sasa kama haipo hicho kihoro mlicho nacho chatoka wapi? Hao akina Lijualikali wanakisemaje chama ambacho hakipo. Huyo Mbatia mnayemtumia atawafikisha wapi? Kila siku mnasema Chadema kimekufa halafu kesho mnatuletea majina ya waliohama chadema kwenda CCM.Mbona Chadema imeshajifuta yenyewe tu boss?
Dunia ilishatoka hukoHapa dawa ni kurudi kwenye siasa ya Chama kimoja hakuna namna..ikiwa chadema haipo means upinzani haupo...
Mbona Chadema imeshajifuta yenyewe tu boss?
[/QUO
Lakini mbona inaandamwa sana? Kama CDM inajichimbia kaburi lake yenyewe, mbona CCM na dola wanang'ang'ania kuwanyang'anya CDM jembe/chepe wanalojichimbia nalo? Si waachwe mpaka wajifukie?
Mh zito Kama mtu anafukuzwa uanachama na bado anatambuliwa Kama mbunge hili watashindwa kweli all in all hii italeta shida kubwa kwa watawala kuliko wanavyofikiri.Kwa mujibu wa sheria Chama hakiwezi kufutwa Mwaka wa Uchaguzi. Puuza hayo mambo
MAITI HUWA HAIPIGWI RISASI MARA MBILI
"Kikinuka, mtanitafuta sana na hamtanipata" - mwamba Mbowe.Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta CHADEMA kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu.
Je, hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?
Sokoine alikuwa anapambana na watu akaishia kuukimbizaNgoja aendeleze ujinga , mwisho wa siku na yeye tumfute
Thubutuuuuu kwa nini mnahabgaika nayo sasa? Yaani hata watz tusio na elimu tunawashangaaaChadema ilishajifuta tayari kwani hata huoni mwelekeo wa chama chenyewe?
Ndiyo lakini CCM imeshindwa kuhama!Dunia ilishatoka huko
Ulikaa wapi na wananchi wa nchi hii nzima walikokwambia wameichoka CDM? Ni ukweli usiopingika kwamba kuna shida ndani ya CDM lakino si ya kufikia kuchokwa na wananchi wenye ufahamu. CDM haikuwa makini kwenye kufanya vetting ya wagombea wao toka mwanzo ndio maana hatusikii makundi ya wanachama wakihama na hawa mamluki waliopenya ndani ya Chadema huko nyuma. CCM wasimame wao bila dola waone cha moto, kwani upinzani uko mioyoni mwa wananchi. Ndio maana leo CUF ikatekwa na CCM na ndani ya siku mbili tuu wanacuf wakaamka kuwa ACT Wazalendo na wala hawakurudi au kwenda CCM - jiulize ni kwa nini?Msajili wa vyama anaweza asikifute kwenye usajili wa kisheria. Lakini wananchi wakakifuta kwenye mioyo yao. Na tayari wananchi hawana imani nacho.