Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,783
- 21,019
Ni kweli kabisa.From brother Julius S. Mtatiro
Kila mwanaume 1 anaporudi nyumbani, anaenda kuipa matumaini, familia yake, hata kama hana senti tano! Uwepo wake na tabasamu na kurudi kwake, kunainong'oneza familia "IPO KESHO....KUNA MAISHA BADO....TUNA ULINZI WA KUTOSHA. BADO LIPO TUMAINI.."
_
Hadithi ya baba yangu mzazi, inatukumbusha mwanaume anatembea na mengi sana kichwani na moyo wake, na hawezi kuyasema, kama wanaume wangelikuwa wanawaeleza wake zao namna wanavyopambana kwa ajili ya familia zao, wanawake wangelikufa kwa mshtuko.
And you know what? Baba hakuwahi kumpigia mama hii stori, hadi mimi nilipomsimulia mama.
Si ajabu ndiyo maana wanaume tunakufa mapema, maana tunauawa na mengi!
Wabunge 17 kumdindia Mwenyekiti wa kudumu huoni kuwa ni mwerekeo wa kifo cha mende?Mwelekeo upi? Kutwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi na sasa mmewapelekea Takukuru wakati Ndungai katafuna bilion 12 lakini Takukuru hawakuthubutu kwenye hata kumsalimia tu
Umewahi ona wapi takukuru wakafanya kazi bila maagizo.Mwelekeo upi? Kutwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi na sasa mmewapelekea Takukuru wakati Ndungai katafuna bilion 12 lakini Takukuru hawakuthubutu kwenye hata kumsalimia tu
Mawaziri wenu wameanza kushushiwa kipigo majukwaani. Na hilo sasa ni mwendo mdundo hadi octoba.Chadema ilishajifuta yenyewe tayari October wakipata hata mbunge mmoja wakatambike!
Nani kakuambia wabunge ndio chama? Kumbe IQ yako ni ndogo mno!Wabunge 17 kumdindia Mwenyekiti wa kudumu huoni kuwa ni mwerekeo wa kifo cha mende?
CAG alikagua vizuri akatoa hati safi kwa chadema lakini CAG alikagua Serikali akakuta trilion 1.5 imepotea lakini Takukuru hawakwenda kuchunguza hata TFF ya sasa Takukuru wapo kugelesha tu kwani mwenyekiti wa TFF karia ni kada wa CCM ni vigumu akitwe na hatia ndivyo hivyo hivyo kwa zile bilion 12 za Ndungai ambazo Takukuru hawathubutu kugusaKimekosa nini hata kifutwe?
Kanuni ya adhabu kwa kosa lake inasemaje, inapatikana kwenye sheria ipi?
Ona unavyohangaika na viclip ukifikiri vitakusaidia kupunguza stress zako za Chadema kukataliwa na watz. Poleni.Mawaziri wenu wameanza kushushiwa kipigo majukwaani. Na hilo sasa ni mwendo mdundo hadi octoba.
Muwe mnatembea na kundi la askari, kipigo kikianza wanapiga mabomu.
Ndio mtajua maana ya kukubalika.
View attachment 1461371
Mbowe ndiyo huwabambikia watu kesi? Kuna udikiteta mbaya kama kuwabambikia watu kesi?Chini ya Dikteta Mbowe bora kifutwe hiki chama cha ukoo
Tofautisha Auditing na Forensic Investigation! Auditing anaangalia utaratibu kama umefuatwa ama la wakati Forensic Investigation wanaangalia fraud kama imefanyika.CAG alikagua vizuri akatoa hati safi kwa chadema lakini CAG alikagua Serikali akakuta trilion 1.5 imepotea lakini Takukuru hawakwenda kuchunguza hata TFF ya sasa Takukuru wapo kugelesha tu kwani mwenyekiti wa TFF karia ni kada wa CCM ni vigumu akitwe na hatia ndivyo hivyo hivyo kwa zile bilion 12 za Ndungai ambazo Takukuru hawathubutu kugusa
Upinzani unajifuta wenyewe kwa matendo yake ambayo wananchi hawayapendi.Badala ya kuwaza kufuta umasikini unawaza kufuta upinzani huu si ukichaa kabisa.
Work ni mfungwa wa hiari kanunuliwa kwa kwa vipande 12 bn akienda kinyume faili la uhujumu uchumi dpp analiandaa rejea ilipokumbushiwa ile gharama za matibabu alipopigwa mkwara akawa mpole so tumuonee huruma Mateka huru.Ushalamba za watu ni lzm wakutumie watakavo.CAG alikagua vizuri akatoa hati safi kwa chadema lakini CAG alikagua Serikali akakuta trilion 1.5 imepotea lakini Takukuru hawakwenda kuchunguza hata TFF ya sasa Takukuru wapo kugelesha tu kwani mwenyekiti wa TFF karia ni kada wa CCM ni vigumu akitwe na hatia ndivyo hivyo hivyo kwa zile bilion 12 za Ndungai ambazo Takukuru hawathubutu kugusa
Siyo jambo la kipuuzi kwa sababu kama CCM wangekuwa hawawaogopi chadema wasingekuwa wanahaha kutwa kuwahujumu kuwadhoofisha kuwabambikia kesi, kuwapiga risasi na sasa kuwapelekea Takukuru wakati Ndungai kapiga bilion 12 hakupelekewa TakukuruNi jambo la ki puuzi kwasasa kuamini kuwa chadema ni mashindani halisi wa CCM, CCM kwa sasa inajiandaa kupata ushindani kutoka ndani yake, kama alivyokua kipindi cha nyuma na ulikua ushindani halisi kwakua wanafahamiana vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umewahi sikia mtz gani analalamika uwepo wa upinzani Kama ni kikwazo cha umasikini wake.Upinzani unajifuta wenyewe kwa matendo yake ambayo wananchi hawayapendi.
Wewe ndito IQ yako ni ndogo sana! Unajua kuwa wabunge wamechaguliwa na wananchi hivyo mbunge ana wananchi kibao walioko nyuma yake! Sasa wewe endelea kujidanganya. Kwa taarifa yako Mbowe vijana na wazee.wa Hai hawamtaki hata kumsikia.Nani kakuambia wabunge ndio chama? Kumbe IQ yako ni ndogo mno!
Msajili wa vyama anaweza asikifute kwenye usajili wa kisheria. Lakini wananchi wakakifuta kwenye mioyo yao. Na tayari wananchi hawana imani nacho.kwa mujibu wa sheria Chama hakiwezi kufutwa Mwaka wa Uchaguzi. Puuza hayo mambo
Kuwabambikia kesi wapinzani ni matendo ambayo wananchi hawayataki hakuna upinzani kujifuta wenyewe hakuna mwananchi mwenye Akili timamu anaamini upinzani utajifuta wenyewe, watanzania wanajua CCM ndiyo inakazana kufuta upinzani wapate kurejesha mfumo wa chama kimojaUpinzani unajifuta wenyewe kwa matendo yake ambayo wananchi hawayapendi.