technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,557
- 57,857
Chadema ilishajifuta tayari kwani hata huoni mwelekeo wa chama chenyewe?Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta chadema kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu. je hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?
Chadema ina nguvu kuliko ilivyokuwa huko nyumaChadema ilishajifuta tayari kwani hata huoni mwelekeo wa chama chenyewe?
Haramu kwako kama ambavyo wengine chadema au upinzani ni haramu.Upinzani unaanzia moyoni na sio Kwenye chama hata kama watafanikiwa wakaifuta haitasadia kituuu...
Imani yetu inatuambia kuwa kuishabikia CCM ni haramu
Kawadanganye wanachadema wenzako wasiojitambuaChadema ina nguvu kuliko ilivyokuwa huko nyuma
Huyo mwenye nia hiyo ovu ni lazima atakuwa Jiwe.......Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta chadema kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu. je hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?
Mbona Chadema imeshajifuta yenyewe tu boss?Huyo mwenye nia hiyo ni lazima atakuwa Jiwe.......
Kwa kuwa alitangaza hadharani wakati anaingia madarakani mwaka 2015, kuwa ni lazima ataifuta Chadema, kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020......
Amefanya kila mbinu chafu na ovu kuifuta Chadema, lakini Mungu ndiyo amekuwa akikilinda chama hiki........
Sasa kwa kuwa ameona umekaribia mno uchaguzi mkuu na yeye anajua kuwa hakubaliki miongoni ya wananchi, ndiyo anaona atumie ubabe wake, akiwa Amiri Jeshi Mkuu, aifute Chadema!
Hata hivyo lazima tumwonye, ikiwa anataka umwagikaji mkubwa wa damu nchi hii, athubutu kufanya hilo analoliitaka!
Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta chadema kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu. je hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?
Chadema ilishajifuta yenyewe tayari October wakipata hata mbunge mmoja wakatambike!kwa mujibu wa sheria Chama hakiwezi kufutwa Mwaka wa Uchaguzi. Puuza hayo mambo
Wanakimbiza upepo,ukiifuta chadema tunaamia chauma,imefutwa cuf Zanzibar tumehamia ACT.Kuna taarifa zinasambaa kwenye magroup ya whatApp ya kuwepo mkakati wa kuifuta chadema kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu. je hizi taarifa ni kweli? Kama ni kweli nini malengo ya watu waliopanga ili jambo? hawaoni wanaiweka amani yetu mashakani?
Ingekuwa imejifuta ndiyo ingemfanya Jiwe vitanda visilalike huko Chamwino??Mbona Chadema imeshajifuta yenyewe tu boss?
Asante kiongozi. Barikiwa maana ni wachache sana mliobaki ambao mmeamua kukataa kuabudu watu.na kusimama katika ukwelikwa mujibu wa sheria Chama hakiwezi kufutwa Mwaka wa Uchaguzi. Puuza hayo mambo
Lakini Mh. Miaka hii 5 tumeona uvunjifu mkubwa wa sheria na serikali hii imetuonyesha inaweza fanya chochote wakati wowote hivyo taadhari ni muhimu sana maana tumeona mengi ya CAG, watu kuvuliwa ubunge. nkkwa mujibu wa sheria Chama hakiwezi kufutwa Mwaka wa Uchaguzi. Puuza hayo mambo
Mwelekeo upi? Kutwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi na sasa mmewapelekea Takukuru wakati Ndungai katafuna bilion 12 lakini Takukuru hawakuthubutu kwenye hata kumsalimia tuChadema ilishajifuta tayari kwani hata huoni mwelekeo wa chama chenyewe?
Anakimbiza upepo, badala ya kuwaza kufuta umasikini unawaza kufuta upinzani.Ameikuta ataondoka Kama upepo na atakiacha Kama alivokikuta.Huyo mwenye nia hiyo ovu ni lazima atakuwa Jiwe.......
Kwa kuwa alitangaza hadharani wakati anaingia madarakani mwaka 2015, kuwa ni lazima ataifuta Chadema, kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020......
Amefanya kila mbinu chafu na ovu kuifuta Chadema, lakini Mungu ndiyo amekuwa akikilinda chama hiki........
Sasa kwa kuwa ameona umekaribia mno uchaguzi mkuu na yeye anajua kuwa hakubaliki miongoni ya wananchi, ndiyo anaona atumie ubabe wake, akiwa Amiri Jeshi Mkuu, aifute Chadema!
Hata hivyo lazima tumwonye, ikiwa anataka umwagikaji mkubwa wa damu nchi hii, athubutu kufanya hilo analoliitaka!
Sisi tuna lala fofofo kabisa siku hizi kuliko 2015 hata wewe unajua hilo.Ingekuwa imejifuta ndiyo ingemfanya Jiwe vitanda visilalike huko Chamwino??
Kama kweli Chadema imejifuta, ni kitu gani kinachowafanya nyiye maccm, muogope kama ukoma, uchaguzi huru na wa haki??