CHADEMA kufanya mkutano mkubwa Kigamboni

CHADEMA kufanya mkutano mkubwa Kigamboni

Joined
Nov 23, 2012
Posts
20
Reaction score
5
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Kigamboni inatarajia kufanya mkutano mkubwa wa wazi siku ya Jumapili tarehe 24.03.2013 katika viwanja vya Swala.Wanachama,wadau,wafuasi na wapenda mabadiliko katika taifa hili mnakaribishwa na walio mbali basi siku hiyo nitakuwa natoa updates za kinachoendelea kwani mmojawapo wa wazalendo wa taifa hili.

Wote mnakaribishwa mana ndo mazishi ya CCM jimbo la Kigamboni.
 
ninavoijua kigamboni labda CDM wabebe watu toka majimbo yenye watu wa kaskazini wengi hapo dar sihivyo mtapata aibu km ile ya week iliyopita pale tabata
 
ninavoijua kigamboni labda CDM wabebe watu toka majimbo yenye watu wa kaskazini wengi hapo dar sihivyo mtapata aibu km ile ya week iliyopita pale tabata
Aibu ndo nn? Palikuwa na mtihani pale? ??
 
ninavoijua kigamboni labda CDM wabebe watu toka majimbo yenye watu wa kaskazini wengi hapo dar sihivyo mtapata aibu km ile ya week iliyopita pale tabata

Unaijuaje wewe KG... kule pamejaa makamanda wa IFM, MWL NYERERE NA TPCI, CBE NA DIT, nje na hapo kuna masela kibao, washukuma kibao wote ni makamanda.... tupen update mliopo huko...
 
ninavoijua kigamboni labda CDM wabebe watu toka majimbo yenye watu wa kaskazini wengi hapo dar sihivyo mtapata aibu km ile ya week iliyopita pale tabata
hahaa mkuu kama kinavyofanya chama changu pendwa ccm, ni kubeba vikongwe na wamama toka vijijini na kujaza mkutano wao.
 
Kila lililo la heri, maana ccm chama changu kiko mbioni kuwamaliza kwa kuwatengenezea video nyingi zaidi.
 
MAKAMANDA wa Jimbo la KIGAMBONI mlilala mno jamani. Huku MBAGALA tumeomba MKUTANO lakini tunashangaa kazi hiyo wanaiweza CUF, maana wao washafanya mikutano mikubwa miwili chini ya Prof. LIPUMBA.
 
Utasikia kenyela ataupiga marufuku!
 
ninavoijua kigamboni labda CDM wabebe watu toka majimbo yenye watu wa kaskazini wengi hapo dar sihivyo mtapata aibu km ile ya week iliyopita pale tabata

watasema ccm imewahujumu mana hawaamini kuwa hiki ni cha watu wa kaskaz
 
magamba sasa wanabanwa kila kona wakose punzi waendelee na usanii wao ambao una mwisho wake kutokana na watanzania sasa kuwa werevu wa mambo.
 
ccm mmekwisha sasa maana mazishi kila kona ya nchi jana mbowe kazika shinyanga
 
Back
Top Bottom