Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
It is good premature premise and it is very obvious.Si ajabu wakasema elimu wakati wa utawala wa Kikwete ilikuwa bora kuliko elimu chini ya utawala wa Magufuli.
Huyu Suzane Lyimo alikuwa bingwa wa kuuza vyumba kwa wanafunzi UDSM.Akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya chama hicho leo hii, Halima Mdee, mbunge wa Kawe, amesema kuwa chama chake kupitia kwa Suzan Lyimo, Waziri Kivuli wa Elimu, kitatoa hali halisi ya elimu ya juu ilivyo kwa sasa.
Usiongee vitu kuwa na uhakika kisa unataka kusema bora utulie tu maana hulipwi ku commentSi ajabu wakasema elimu wakati wa utawala wa Kikwete ilikuwa bora kuliko elimu chini ya utawala wa Magufuli.
Ndo ukweli. Vijana waliosoma kada muhimu kama udaktari na ualimu wa science na maengineers walipata mikopo bila kubaguliwa.Si ajabu wakasema elimu wakati wa utawala wa Kikwete ilikuwa bora kuliko elimu chini ya utawala wa Magufuli.
Brother vipi tena kumbe hawalipwi? si huwa mnawaita LB7 kwa kila comment!Usiongee vitu kuwa na uhakika kisa unataka kusema bora utulie tu maana hulipwi ku comment
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama siyo kuchanganya R na L, una-point sana.It is good premature premise and it is very obvious.
Kipindi kile cha jamaa mikopo ilikuwa ipo kwa yeyote aendae chuo, watu waliwekeza sababu ukimaliza ajira zipo, madaraja ya walimu plus madai hadi walimu hewa hata wenye vyeti feki wote walilipwa stahiki zao, elimu iliajili wengi ukilinganisha na leo na ilikuwa valuable goods ukilinganisha na sasa ambapo hata hawa wenye genuine education hawana rikizo, daraja wala increment wala ajira wala nini?
Elimu isio na mahusiano na mnyororo wa thamani ni sawa na ngoma za kula daku tu.
Wapunguze mauongo jazz band pamoja na kuwepo na maprofeseri wanye majina makubwa hata increments tu zimegoma.
Opportunists tu hawa na wachumia tumbo.Wanachotaka kufanya ni kutafuta kick na kutaka kuhalalisha uwepo wao.Hata hivyo katika mazingira ya sasa they are obsoleteCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinatarajia kuandaa mkutano na waandishi wa habari ili kuchambua hali ya sasa ya elimu ya juu nchini
Akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya chama hicho leo hii, Halima Mdee, mbunge wa Kawe, amesema kuwa chama chake kupitia kwa Suzan Lyimo, Waziri Kivuli wa Elimu, kitatoa hali halisi ya elimu ya juu ilivyo kwa sasa.
“Serikali inatumia visingizio kubagua Watanzania, na sisi hili suala hili tutalikemea, tutaendelea kulikemea na tutaanda mkutano kwa ajili ya kufanya uchambuzi wa kina wa elimu.
Hata hivyo, Mdee amesema siku na tarehe ya kufanya mkutano huo haijapangwa na kwamba dhamira ya kufanya uchambuzi huo wanayo kama chama
Kuna haja gani sasa ya kutuambia kama siku na tarehe haijapamgwaHata hivyo, Mdee amesema siku na tarehe ya kufanya mkutano huo haijapangwa na kwamba dhamira ya kufanya uchambuzi huo wanayo kama chama