Naomba muandamane kabisa naona mbinu zenu za sumu zimekwama.Chama cha Demokrasia na Maendeleo-Chadema leo kitatoa kauli ya awali kwa umma kupitia vyombo vya habari juu ya uchaguzi mdogo wa Chalinze ambapo kimebaini njama very serious ambazo zimetumika kupika na kutengeneza ushindi wa CCM.
Akizungumza kwa ufupi Msemaji wa chama hicho Tumaini Makene amesema Kama mgombea wa chama hicho na chama chenyewe walikuwa wanakubalika kama wanavyosema, kwa nini zimetumika njama hizo?
Makene amesema taarifa watakayoitoa itaanika ukweli wote wa yaliyotokea Chalinze
Tushawazoea hawana jipya, hapo wanataka kusema wameibiwa kura, wakati inaonekana wazi walikuwa hawakubaliki CHALINZE, kwanini kila mara CHADEMA haitaki ku-deal na chanzo cha kuanguka kwake? wao kila mara ni kuleta sababu za uongo ambazo hazina uhusiano hata kidogo na kuporomoka kwake.
Nadhani mngekaa chini na kutafakari kwanini kila uchaguzi mnatimuliwa vumbi, kuliko kuita waandishi na kuanza kutoa tuhuma za kitoto kila mara!
chadema ni chama changu na ntakufa nikiwa muumini na shabiki nguli wa chadema..lakini kwa hili la chalinze hata mngefanyaje msingeweza kushinda bana...yaani wakwere waache kumchagua mtoto wa Kikwete????? wanaishi miaka nenda rudi nyumba moja na bata na kuku wanaona sawa leo mtawaambia mnaleta mabadiliko? hebu acheni bana
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-Chadema leo kitatoa kauli ya awali kwa umma kupitia vyombo vya habari juu ya uchaguzi mdogo wa Chalinze ambapo kimebaini njama very serious ambazo zimetumika kupika na kutengeneza ushindi wa CCM.
Akizungumza kwa ufupi Msemaji wa chama hicho Tumaini Makene amesema Kama mgombea wa chama hicho na chama chenyewe walikuwa wanakubalika kama wanavyosema, kwa nini zimetumika njama hizo?
Makene amesema taarifa watakayoitoa itaanika ukweli wote wa yaliyotokea Chalinze
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-Chadema leo kitatoa kauli ya awali kwa umma kupitia vyombo vya habari juu ya uchaguzi mdogo wa Chalinze ambapo kimebaini njama very serious ambazo zimetumika kupika na kutengeneza ushindi wa CCM.
Akizungumza kwa ufupi Msemaji wa chama hicho Tumaini Makene amesema Kama mgombea wa chama hicho na chama chenyewe walikuwa wanakubalika kama wanavyosema, kwa nini zimetumika njama hizo?
Makene amesema taarifa watakayoitoa itaanika ukweli wote wa yaliyotokea Chalinze
Waache utoto...tatizo liko kwenye chama chenyewe..wananchi sisi sio wajinga tunajua na tunasikia mnyukano ndani ya chama chenu kisa posho chama kinachopata baada ya kuwa na wabunge wengi. Sasa kwanini waongeze shida kwenye chama kwa kuongeza posho ili muuane kabisa?
Mbona kipele wewe kila kitu kihusucho CCM unakuwa na kiherehere au kwa kuwa ndio unakoshibia?Hivi huwezi subiria then after that na wewe ukatoa maudhui yako??Tatizo la CCM hamtaki kuongelewa kila siku mnaona nyie tu ndio mko juu ya sheria Mkuu subiria acha papara kama unaandika ukiwa juu ya mti.Subiri maelezo kama mleta mada alivyosema then kaa uchambue then njoo humu tena halafu mwaga wino ili kila upande uelewe nini kilichotokea na kama ulivyosema kama Chadema haawataki kukubali kushindwa then kama maandiko yako yatakuwa na uzito basi Chadema watajirekebisha.Usiwe king'ang'anizi kama wenzako walioko Dodomo kulazimisha Rasimu yao ipite wakati Rasimu iliyopo na inayohitaji kufanyiwa kazi ni ya jaji Joseph Warioba na si nyingine kama iliyoletwa na wenzako wa CCM.Kaa tulia subiria kitu kama umeshindwa kukikalia basi neda ncho mdogo mdogo haadi ulainike na kiingieTushawazoea hawana jipya, hapo wanataka kusema wameibiwa kura, wakati inaonekana wazi walikuwa hawakubaliki CHALINZE, kwanini kila mara CHADEMA haitaki ku-deal na chanzo cha kuanguka kwake? wao kila mara ni kuleta sababu za uongo ambazo hazina uhusiano hata kidogo na kuporomoka kwake.
Nadhani mngekaa chini na kutafakari kwanini kila uchaguzi mnatimuliwa vumbi, kuliko kuita waandishi na kuanza kutoa tuhuma za kitoto kila mara!