calculator
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 279
- 137
umeaibika kwa umbea wako. rushwa iko kwenye ilani ya ccm kwa hiyo uache umbea maana mwisho wa siku utaolewa bure bila hata senti 1Tuliza kalio wewe sindano isivunjikie.. kaa mitaani upate data
Nilitegemea ungemwelewesha zaidi na kuonyesha ugenuine wako, kwani katika kipindi hiki ni wazi kwamba propaganda za aina hii zio ili kuwapaka matope viongozi walio thabiti.
Kwa comment yako hii, unatufanya wengine tukubaliane na huyo aliyesema, kwamba Lumumba wapo kazini i.e. ni propaganda tu na hakuna ukweli kwa lolote ulilosema hapo juu
Kumbuka kuna post yako ilikuwa inamtuhum Diwani anakopa sana na anadaiwa sana Leo umekuja na Mwenyekiti wa CDM.Inaonekana wewe ni CCM na hicho unachofanya ni kujishushia kuaminika .
Calculator ya Ngoswe mwachie Ngoswe na si vizuri kuwachafua watu kwa chuki ubinafsi au kwa maslahi ya kisiasa.