CHADEMA kata ya Sombetini mmetulekeza

CCM wamechangia kuiba kodi za Wanaarusha na kuleta ufitini wa kupiga vita Mkurugenzi ili wapate mianya mizuri ya kuiba lakini hakuna kitu hapo Chadema wapo na watawathibiti tu

chadema haijachangia chochote kwenye maendeleo ya arusha
 
mbona tunalipa shiling elfu moja tu kwa kila mwezi kama mimi nipo maua mbauda na hao migambo hawajawai hata kugonga kwenye mlango wangu ni kwa sababu nalipa kwa wakati migambo huwa wanawatembelea wasumbufu wa kulipa ushuru wa taka ndo inapokubidi ulipe na faini binafsi nawashukuru chadema maana hata zile elfu mbili walizokua wanatudai za ulinzi usioonekana hata sa nane ucku wameacha kudai hivyo mr lipa ushuru kwa wakati maana sa hv umepungua si kama zamani.
 

hayo ndio matunda ya cdm, tulieni tuwakamue vizuri, wanafiki haya ndio malipo yao
 
Ngoja mkunwe zaidi kwakukubali kuongozwa na wachumia tumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…