Mlikuja mkatuomba kura,tukawapa,tukazilinda na hatimae pamoja tukashinda.Baada ya uchaguzi mlikuja tena viwanja vya mbauda kutushukuru wananchi,katika kero mlizoahidi mtazitekeleza ni kuhusu urasimu na ufisadi unaofanywa na sombetini youth,wakusanyaji wa taka, nakumbuka vizur mh Lema aliahidi atatoa gari la taka tractor na wananchi tuchangie mia tano,baada ya apo siku kadha mh Bananga alipita akautangazia umma kwamba tutachangia 1000 badala ya 500,tukamuelewa,tatizo leo vijana wa sombetini youth wako mtaani na migambo wanakamata watu wanaogoma kuwalipa kiwango wanachotaka wao elfu saba na wengine elfu tatu,elfu tano,huu uoenevu na usumbufu mpaka lini,?tulikuchagua bananga tukiamini utaweza kutuwakilisha na kusimamia haki zetu,uko apo ofisini unaona hili jambo
Kalenga walimshtukia mh, lema baada ya kuwazuga eti cdm itaokoa hali mbaya ya watoto wa shule
katika majimbo yote yaliyo chini ya cdm ni virio vitupu .dawa ni kumbwaga lema tu
Mlikuja mkatuomba kura,tukawapa,tukazilinda na hatimae pamoja tukashinda.Baada ya uchaguzi mlikuja tena viwanja vya Mbauda kutushukuru wananchi,
Katika kero mlizoahidi mtazitekeleza ni kuhusu urasimu na ufisadi unaofanywa na sombetini youth,wakusanyaji wa taka, nakumbuka vizur mh. Lema aliahidi atatoa gari la taka tractor na wananchi tuchangie mia tano,baada ya hapo siku kadha mh. Bananga alipita akautangazia umma kwamba tutachangia 1000 badala ya 500,tukamuelewa.
Tatizo leo vijana wa Sombetini Youth wako mtaani na migambo wanakamata watu wanaogoma kuwalipa kiwango wanachotaka wao elfu saba na wengine elfu tatu,elfu tano,huu uoenevu na usumbufu mpaka lini?
Tulikuchagua Bananga tukiamini utaweza kutuwakilisha na kusimamia haki zetu,uko hapo ofisini unaona hili jambo.
Lema aliahidi ilo gari litatolewa siku moja baada ya mkutano,mpaka leo tunavyonyanyaswa hivi ata bananga hayupo ofisini kwake kututetea na huu ubabe wa mgambo na mapolisi feat sombetini youth .naamini imani itapungua apo dhidi yenu
katika majimbo yote yaliyo chini ya cdm ni virio vitupu .dawa ni kumbwaga lema tu
Wewe ni Mpumb.avu. Kwani unaona hali za watanzania waliyowengi ni nzuri au kwa vile mnawadangnya kwa kukosa kwao shule kichwani? CCM hamtadumu milele acheni dharau hizo.
CC:MSALAN
Unatumika,Wassira aliahidi unafuu wa gharama mji mdogo wa bunda miaka 9 iliyopita licha ahadi za mwezi unusu sombetini.Lema aliahidi ilo gari litatolewa siku moja baada ya mkutano,mpaka leo tunavyonyanyaswa hivi ata bananga hayupo ofisini kwake kututetea na huu ubabe wa mgambo na mapolisi feat sombetini youth .naamini imani itapungua apo dhidi yenu
kwani maisha bora toka kwa kikwete umishayapata hadi sasa? ana muda gani madarakani? amebakiza muda gani?
wapeni muda viongozi wenu bwana, mbona lema aliwaahidi Hospitali majuzi akapewa kiwanja cha kujengea hiyo hospitali? acheni ushamba eti!!!
Unatumika,Wassira aliahidi unafuu wa gharama mji mdogo wa bunda miaka 9 iliyopita licha ahadi za mwezi unusu sombetini.