Rostema JF-Expert Member Joined Nov 27, 2018 Posts 2,926 Reaction score 9,475 May 19, 2019 #21 Buhigwe nasikia anatarajiwa wa fedha
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 May 19, 2019 #22 Rostema said: Jimama moja jeupe lenye msambwanda flani hivi Click to expand... Huyo huyo, halafu mimi ndiyo nilikuwa eti nambembeleza warudiane na jamaa. Miaka imeenda aisee, nimesoma naye darasa moja, tumekuja kunyanganywa mzigo tulivyomaliza six.
Rostema said: Jimama moja jeupe lenye msambwanda flani hivi Click to expand... Huyo huyo, halafu mimi ndiyo nilikuwa eti nambembeleza warudiane na jamaa. Miaka imeenda aisee, nimesoma naye darasa moja, tumekuja kunyanganywa mzigo tulivyomaliza six.
Jumong S JF-Expert Member Joined Jul 3, 2013 Posts 7,427 Reaction score 10,749 May 19, 2019 #23 Waha acheni ubishi
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 May 19, 2019 #24 Rostema said: Buhigwe nasikia anatarajiwa wa fedha Click to expand... Wa fedha naye ni viti maalum vya President!
Rostema said: Buhigwe nasikia anatarajiwa wa fedha Click to expand... Wa fedha naye ni viti maalum vya President!
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 42,550 Reaction score 105,314 May 19, 2019 #25 kinusikwetu said: Mkuu kumbe tupo wote hapa kasudeco Mimi nipo hapa kaunta nachaji simu Click to expand... Hahaahaaaa....... Kumbe yule nilikua namuona pale juu ni wewe eehhh
kinusikwetu said: Mkuu kumbe tupo wote hapa kasudeco Mimi nipo hapa kaunta nachaji simu Click to expand... Hahaahaaaa....... Kumbe yule nilikua namuona pale juu ni wewe eehhh
Rostema JF-Expert Member Joined Nov 27, 2018 Posts 2,926 Reaction score 9,475 May 19, 2019 #26 ndio mtarajiwa wa maeneo yale
Rostema JF-Expert Member Joined Nov 27, 2018 Posts 2,926 Reaction score 9,475 May 19, 2019 #27 Don Clericuzio said: Huyo huyo, halafu mimi ndiyo nilikuwa eti nambembeleza warudiane na jamaa. Miaka imeenda aisee, nimesoma naye darasa moja, tumekuja kunyanganywa mzigo tulivyomaliza six. Click to expand... Pole mkuu jimama linazidi kunawiri kila kukicha so unajua kiyoyozi kikubali Mzee baba.
Don Clericuzio said: Huyo huyo, halafu mimi ndiyo nilikuwa eti nambembeleza warudiane na jamaa. Miaka imeenda aisee, nimesoma naye darasa moja, tumekuja kunyanganywa mzigo tulivyomaliza six. Click to expand... Pole mkuu jimama linazidi kunawiri kila kukicha so unajua kiyoyozi kikubali Mzee baba.
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 May 19, 2019 #28 Rostema said: ndio mtarajiwa wa maeneo yale Click to expand... Vizuri, hao wanapita. Naona Mama Ndalichako kawashika hasa.
Rostema said: ndio mtarajiwa wa maeneo yale Click to expand... Vizuri, hao wanapita. Naona Mama Ndalichako kawashika hasa.
Rostema JF-Expert Member Joined Nov 27, 2018 Posts 2,926 Reaction score 9,475 May 19, 2019 #29 Aisee kila mara yupo Kasulu na amejenga kabisa kambi yake motel
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 May 19, 2019 #30 Rostema said: Pole mkuu jimama linazidi kunawiri kila kukicha so unajua kiyoyozi kikubali Mzee baba. Click to expand... Bora alivyochukuliwa lakini, maana jamaa alizidi kututambia. Alikuwa na dada yake mmoja mkali sana, namba za kwa PK zile.
Rostema said: Pole mkuu jimama linazidi kunawiri kila kukicha so unajua kiyoyozi kikubali Mzee baba. Click to expand... Bora alivyochukuliwa lakini, maana jamaa alizidi kututambia. Alikuwa na dada yake mmoja mkali sana, namba za kwa PK zile.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,283 May 19, 2019 #31 Hapo ndiyo utaipenda JF. Issue ya Kasulu watu wanashusha nondo za uhakika ambazo huwezi kuzipata kwingine popote pale.
Hapo ndiyo utaipenda JF. Issue ya Kasulu watu wanashusha nondo za uhakika ambazo huwezi kuzipata kwingine popote pale.
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 May 19, 2019 #32 Rostema said: Aisee kila mara yupo Kasulu na amejenga kabisa kambi yake motel Click to expand... Aisee, muda sana Motel yule mmiliki wake alikuwa UDSM. Sina taarifa zake muda.
Rostema said: Aisee kila mara yupo Kasulu na amejenga kabisa kambi yake motel Click to expand... Aisee, muda sana Motel yule mmiliki wake alikuwa UDSM. Sina taarifa zake muda.
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 May 19, 2019 #33 BAK said: Hapo ndiyo utaipenda JF. Issue ya Kasulu watu wanashusha nondo za uhakika ambazo huwezi kuzipata kwingine popote pale. Click to expand... Kwa Tanzania nadhani JF kwa sasa iko kila kona. Maana kwa sasa ndiyo chombo pekee cha taarifa unachoweza kupata taarifa isiyochujwa.
BAK said: Hapo ndiyo utaipenda JF. Issue ya Kasulu watu wanashusha nondo za uhakika ambazo huwezi kuzipata kwingine popote pale. Click to expand... Kwa Tanzania nadhani JF kwa sasa iko kila kona. Maana kwa sasa ndiyo chombo pekee cha taarifa unachoweza kupata taarifa isiyochujwa.
Rostema JF-Expert Member Joined Nov 27, 2018 Posts 2,926 Reaction score 9,475 May 19, 2019 #34 Don Clericuzio said: Aisee, muda sana Motel yule mmiliki wake alikuwa UDSM. Sina taarifa zake muda. Click to expand... Pamechoka ni kichaka cha kumalizia shida za watu wakwere
Don Clericuzio said: Aisee, muda sana Motel yule mmiliki wake alikuwa UDSM. Sina taarifa zake muda. Click to expand... Pamechoka ni kichaka cha kumalizia shida za watu wakwere
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,283 May 19, 2019 #35 Naam Mkuu ndiyo sababu imezidi kuwa maarufu sana ndani na nje ya nchi. Don Clericuzio said: Kwa Tanzania nadhani JF kwa sasa iko kila kona. Maana kwa sasa ndiyo chombo pekee cha taarifa unachoweza kupata taarifa isiyochujwa. Click to expand...
Naam Mkuu ndiyo sababu imezidi kuwa maarufu sana ndani na nje ya nchi. Don Clericuzio said: Kwa Tanzania nadhani JF kwa sasa iko kila kona. Maana kwa sasa ndiyo chombo pekee cha taarifa unachoweza kupata taarifa isiyochujwa. Click to expand...
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 May 19, 2019 #36 Rostema said: Pamechoka ni kichaka cha kumalizia shida za watu wakwere Click to expand... Aisee, noma sana.
Rostema said: Pamechoka ni kichaka cha kumalizia shida za watu wakwere Click to expand... Aisee, noma sana.
Rostema JF-Expert Member Joined Nov 27, 2018 Posts 2,926 Reaction score 9,475 May 19, 2019 #37 BAK said: Naam Mkuu ndiyo sababu imezidi kuwa maarufu sana ndani na nje ya nchi. Click to expand... Sahihi mkuu
BAK said: Naam Mkuu ndiyo sababu imezidi kuwa maarufu sana ndani na nje ya nchi. Click to expand... Sahihi mkuu
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 May 19, 2019 #38 BAK said: Naam Mkuu ndiyo sababu imezidi kuwa maarufu sana ndani na nje ya nchi. Click to expand... Kabisa, ni jambo la kuwashukuru kina Melo aisee. Wanatupigania kwenye swala zima la taarifa.
BAK said: Naam Mkuu ndiyo sababu imezidi kuwa maarufu sana ndani na nje ya nchi. Click to expand... Kabisa, ni jambo la kuwashukuru kina Melo aisee. Wanatupigania kwenye swala zima la taarifa.
cheetah255 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2017 Posts 1,382 Reaction score 2,416 May 19, 2019 #39 Kilasiku tunawaambia chadema hakuna usalama,watu wameshachoka na biashara ya kina mbowe na viongozi wa kuhamasisha na kufanya vurugu wenyewe kwa wenyewe.
Kilasiku tunawaambia chadema hakuna usalama,watu wameshachoka na biashara ya kina mbowe na viongozi wa kuhamasisha na kufanya vurugu wenyewe kwa wenyewe.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,283 May 19, 2019 #40 Kabisa Melo ni shujaa huyu jamaa halafu hana woga kabisa kuhusu kuhakikisha uhuru wetu wa kujadili kwa uhuru wa hali ya juu. Don Clericuzio said: Kabisa, ni jambo la kuwashukuru kina Melo aisee. Wanatupigania kwenye swala zima la taarifa. Click to expand...
Kabisa Melo ni shujaa huyu jamaa halafu hana woga kabisa kuhusu kuhakikisha uhuru wetu wa kujadili kwa uhuru wa hali ya juu. Don Clericuzio said: Kabisa, ni jambo la kuwashukuru kina Melo aisee. Wanatupigania kwenye swala zima la taarifa. Click to expand...