CHADEMA Karatu wamkubali Lowassa

CHADEMA Karatu wamkubali Lowassa

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
Akiongea kwa niaba ya wananchi wa wilaya ya karatu mwenyekiti wa halmashauri ya karatu bwana Lazaro amemuelezea waziri mkuu mstaafu bwana Edward Lowassa kama kiongozi pekee mwenye kuthubutu na asiye na uoga katika kuchukua maamuzi kwa faida ya wananchi.

Ameyesema hayo katika harambee iliyoitishwa kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa hosteli ya chuo cha afya kinachomilikiwa na kanisa la kiinjili la kilutheri.katika harambee hiyo fedha taslimu pamoja na ahadi kiasi cha shilingi milioni mia mbili na laki nane kilipatikana 200,800,000/=.

Pamoja na bwana lazaro pia mbunge wa wilaya hiyo mchungaji Natse amemuelezea bwana lowassa kama kiongozi ambaye amechaguliwa na Mungu kwa ajili ya kuwatumikia watu wake.
 
sawa sawa
 
huyo Lowassa hajawahi kuijua bado methali hii ya wajinga ndiyo waliwao?
 
Watu wanampamba ili wachukue hela zao za RICH WA MONDULI ambazo leo anatembea nchi nzima akigawa. "MUNGU hapendezwi na sadaka chaf"
 
Mbele ya pesa hata angeamka hitler angesifiwa kama mtu muungwana,mcha mungu,anayeonewa kwa ajili ya upole wake nk,pesa ndiyo mbolea ya unafiki na usaliti,huyo hajasifiwa kakashifiwa,leo mch natse ataitisha mkutano na kuendelea kumponda lowassa kuwa ni mwizi wa mali ya umma.
 
Hao wanaomfagilia ni masalia, wachunguzwe wasalliti wa CHADEMA hao. Hahahahhaaaa
 
Amechaguliwa na Mungu kivipi??? .. hebu watuondolee upuuzi wao hapa.
 
Akiongea kwa niaba ya wananchi wa wilaya ya karatu mwenyekiti wa halmashauri ya karatu bwana Lazaro amemuelezea waziri mkuu mstaafu bwana Edward Lowassa kama kiongozi pekee mwenye kuthubutu na asiye na uoga katika kuchukua maamuzi kwa faida ya wananchi.

Ameyesema hayo katika harambee iliyoitishwa kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa hosteli ya chuo cha afya kinachomilikiwa na kanisa la kiinjili la kilutheri.katika harambee hiyo fedha taslimu pamoja na ahadi kiasi cha shilingi milioni mia mbili na laki nane kilipatikana 200,800,000/=.

Pamoja na bwana lazaro pia mbunge wa wilaya hiyo mchungaji Natse amemuelezea bwana lowassa kama kiongozi ambaye amechaguliwa na Mungu kwa ajili ya kuwatumikia watu wake.

Mpaka 2015 tutasikia mengi.
 
chukueni pesa za Lowassa mfanyie maendeleo tunasubiri pikipiki akiwapa vijana zitatusaidia CHADEMA kupiga kampeni 2015
 
Daaa...thread hii imeniharibia siku,chaguo la Mungu????!! Lowasa,lowasa kweli jamani kweli??!!! Mmafia wapi na wapi na Mungu?? Fisadi wapi na wapi na Mungu?? Mwizi wapi na wapi na Mungu?? Silent killer na Mungu?? Daaa...lowasa huyu mwenye majaribio ya kuzima haki kwenye chaguzi,ni chaguo la Mungu???

Lowassa huyu wa Richmond ?? Au kuna lowasa mpya nisiyemfahamu mimi,
nadhani ni yule mzee mrefu,nywele nyeupe,mweupe wa rangi,aliyekuwa waziri mkuu 2005-2007 kumbe ni chaguo la Mungu? Mchungaji are you sure ?
 
Hata kama mtu humpendi lakini ameleta hela,unadhani hutakumbuka ule msemo wa kula na kipofu bila kumshika mkono?
 
this is purely politics: watu wanataka pessa kwa ajili ya hostel; mtoaji anapenda sifa; watu wanamsifia halafu anatoa; watu wanafaikika na msaada wake. Watu wamekubali msaada wake na Lengo limefikiwa. Mungu ambariki sana EL lakina atusaidie kufanya maamuzi sahihi 2015. Mungu atusaidie tusije tukakosea na kumchagua EL maana pesa zote alizotuchangia tutazilipa kwa kodi zetu! This is purely politics, with questionable intentions!
God Forbid!
 
Ulitegemea wasimsifie? Lowasa mpenda sifa mkuu changanya na michakato kibao ya kujaribu kujisafisha,kujinadi kwa ajili ya Urais 2015 ambaye akisifiwa anamwaga mapesa,hata ningekua mimi ningemsifia,huyo Bw ukimsifu tu pesa kibao,lakini urais 2015 ashau kabisa,alishawahi kuambia na mzee Msekwa "Tatizo lako ni urais".
Huyo bwana ni fisadi mkubwa,mwizi mkubwa hakika pesa anazo mwaga sasa mitaani akipata urais tutazirudisha zote sisi walipa kodi wa nchi hii.
Ila ninachojua Lowasa hawezi katu kupata urais kupitia ccm labda aanzisha chama chake!!!
 
Kwa mtandao ambao mamvi anazidi kuujenga, 2015 kazi ipo.
 
Back
Top Bottom