Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,493 Reaction score 7,417 Jun 8, 2013 #1 Nipo mtaa wa Kimbangulile Ghana(Mianzani-Mbagala), CHADEMA wanaomba kura kwa wananchi,naona kuna Mada Mahugo kaingia CHADEMA
Nipo mtaa wa Kimbangulile Ghana(Mianzani-Mbagala), CHADEMA wanaomba kura kwa wananchi,naona kuna Mada Mahugo kaingia CHADEMA
C Chikaka Sumuni JF-Expert Member Joined May 16, 2013 Posts 1,337 Reaction score 773 Jun 8, 2013 #2 Weka na picha basi ndo tukuelewe, Maugo ni nani , ametokea wapi ana mchango gani kwa M4C poa Kamanda endeleeni kupiga kazi tukomboe Taifa
Weka na picha basi ndo tukuelewe, Maugo ni nani , ametokea wapi ana mchango gani kwa M4C poa Kamanda endeleeni kupiga kazi tukomboe Taifa
L Lilambo JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 2,523 Reaction score 207 Jun 8, 2013 #3 Hawa jama mtu mmoja kajiunga katika chama wanavomtangaza utadhani kuna mashindano ya ndondi.
Deshmo JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 4,820 Reaction score 4,264 Jun 8, 2013 #4 Pigeni kazi makamanda
L lupe JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 5,656 Reaction score 218 Jun 8, 2013 #5 Hongereni makamanda! Piga kazi.
K kingukitano JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 1,971 Reaction score 497 Jun 9, 2013 #6 Umepost pumba, Maugo yule aliyeuza pambano kwa dola 8000 kule Ulaya
N nemasisi JF-Expert Member Joined Oct 4, 2012 Posts 1,957 Reaction score 568 Jun 10, 2013 #7 Wingu said: Kuna mapambio yanapigwa hapo na wauza rozari na biblia wapo kama huwaoni basi sio Chadema hao Click to expand... Watu wa aina hii ni janga katika jamii, hovyo kabisa
Wingu said: Kuna mapambio yanapigwa hapo na wauza rozari na biblia wapo kama huwaoni basi sio Chadema hao Click to expand... Watu wa aina hii ni janga katika jamii, hovyo kabisa
C CLAYTON Member Joined May 21, 2013 Posts 17 Reaction score 1 Jun 10, 2013 #8 nemasisi said: Watu wa aina hii ni janga katika jamii, hovyo kabisa Click to expand... Tena sio janga kidogo na hata uwelewa wao unatia shaka, na hakuna sababu ya kujibu hoja zao.
nemasisi said: Watu wa aina hii ni janga katika jamii, hovyo kabisa Click to expand... Tena sio janga kidogo na hata uwelewa wao unatia shaka, na hakuna sababu ya kujibu hoja zao.
M mageuzi1992 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2010 Posts 2,502 Reaction score 256 Jun 10, 2013 #9 wingu said: kuna mapambio yanapigwa hapo na wauza rozari na biblia wapo kama huwaoni basi sio chadema hao Click to expand... minazani wanauza hivyo vitabu wameona nyomi kubwa kwenye mikutano ya cdm hivyo wanaaamini wakienda huko watapata biashara....vinginevyo watakuwa watu wanatumiwa na magamba ili ionekane cdm ni chama cha kidini!
wingu said: kuna mapambio yanapigwa hapo na wauza rozari na biblia wapo kama huwaoni basi sio chadema hao Click to expand... minazani wanauza hivyo vitabu wameona nyomi kubwa kwenye mikutano ya cdm hivyo wanaaamini wakienda huko watapata biashara....vinginevyo watakuwa watu wanatumiwa na magamba ili ionekane cdm ni chama cha kidini!