CHADEMA jitoeni Chalinze kuepuka fedheha

Ni nn maana ya vyama vingi naona umekojolewa ww, futen bac nyama vingi mbaki na ccm tu, fikiri kichwa chako acha kufikir makalio, lazima tuonyeshe upinzan

Vizuri sana ila visingizio NOOOOOOOOOOOO.!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wadau ninajiuliza na kuwauliza kuna haja gani? ya chadema kupeleka nguvu ya pesa chalinze?ili hali wanajua hawawezi kushinda? Hiyo pesa si iende matawini ila si ya kaskazini ili kujipanga! waachane na chalinze!

..CCM nayo kwanini inatumia mapesa mengi kiasi hicho kwa kampeni ambayo wanajua ushindi ni 99.99%?

..badala ya sare za chama, kofia, na mabango ya kampeni, kwanini wasiwanunulie wanafunzi uniforms, vitabu, na madaftari??

cc Simiyu Yetu, THE BIG SHOW, Ritz
 
Last edited by a moderator:
Hii ni fursa ya kukijenga chama na kufanya kampeni kwa chaguzi zijazo. Ni kweli kuwa hatuendi kushinda lakini kwenda ni muhimu. Kupanda mbegu na kuvuna ni tofauti. Ukiona uvivu kwenda kupanda kwa kuwa hutarudi nyumbani na kitu, tutakutambua wakati wa mavuno. Twendeni Chalinze kupanda mbegu!
 
Wadau ninajiuliza na kuwauliza kuna haja gani? ya chadema kupeleka nguvu ya pesa chalinze?ili hali wanajua hawawezi kushinda? Hiyo pesa si iende matawini ila si ya kaskazini ili kujipanga! waachane na chalinze!

Well said kaka Kimboka
 
Chadema hawawezi kujitoa watakufa njaa bavicha wanategemea posho za chama kusukuma gurudumu la njaa
 
Wanachofanya CCM ni kujenga chama kuelekea uchaguzi mkuu 2015, jimbo la Chalinze siyo issue kwa CCM Dr.Slaa na Mbowe wanalijua hilo.
 
Last edited by a moderator:

Kweli lafiki alikua anakuja kwangu. Bado mimi nasubilia yeye
 
Ni ushauri kulinda pesa za sacoss

Ni kweli wewe unahuruma na hizo pesa za saccos maana ni bora zitunzwe kuliko zile za sembe na meno ya Tembo.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Wanachofanya CCM ni kujenga chama kuelekea uchaguzi mkuu 2015, jimbo la Chalinze siyo issue kwa CCM Dr.Slaa na Mbowe wanalijua hilo.

..but dont u think they r overdoing it?

..hizi kampeni nadhani Ridhiwani peke yake alikuwa anatosha kuziendesha.

..kwa ule ufunguzi tu wa kampeni inaonekana CCM wametumia mapesa mengi Chalinze kuliko Kalenga.

..inawezekana ni kwasababu mgombea hapo Chalinze ni Ridhiwani, na kwamba hata watoto wa vigogo nao wana madaraja yao.
 
Wenje mwenyewe kule Mwanza hawana hamu nae! Na uchaguzi ukiitishwa sasa hivi hana chake tena!

Itakuwa Mwanza ya pale kwenye Jengo la CCM karibu na kituo cha Polisi - ila Mwanza mitaani kwa wale wanaoitwa wana nzengo utakuwa unakosea!
 
Sio kwamba cdm wanashiriki chaguzi hizi kwa ajili ya kushinda bali ndio njia pekee kwa wakaskaz kugawana ruzuku za chama na kusingizia gharama za uchaguzi
 
Sio kwamba cdm wanashiriki chaguzi hizi kwa ajili ya kushinda bali ndio njia pekee kwa wakaskaz kugawana ruzuku za chama na kusingizia gharama za uchaguzi

Asante kwa Taarifa Ndugu Marikiti.
 
Ridh,Chakaza kaka,hii ni nchi yako,Baba yako kuwa Rais hakunyimi haki ya kikatiba wanafiki hawa wanaojiita watetezi wake,ya wewe kuchagua na kuchaguliwa,,
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…