hopaje
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 1,726
- 1,218
line up mwambigija(mzee wa upako),jidawaya kaza moyo opolukwa,wananchi wanalalamika mulugo kula fedha za mfuko wa jimbo,huku hakuna barabara,shule hazijengwi,na kikao cha ndani ccm aliwaambia chadema wakija wapeni kesi hata ikiwezakana semeni wamuua albino....kiukweli jimboni kwake yuko hoi pembejeo za kilimo zimechakachuliwa na kuuzwa mbozi,hosptal haina hata plasta...source mi mwenyewe nipo huku najione!