CHADEMA itabaki kuwa CHADEMA tu

Japo huwa una kanusha kuwa wewe sio chadema......
Nimependa guts zako za kusema Mbowe apishe uenyekiti.
Heche angefaa sana..
 
Japo huwa una kanusha kuwa wewe sio chadema......
Nimependa guts zako za kusema Mbowe apishe uenyekiti.
Heche angefaa sana..

Mimi sio mwanachama wa Cdm wala chama chochote cha siasa. Ila ni shabiki wa kutupwa wa Cdm, na wala hili sifichi na liko wazi kabisa. Kwangu Heche na Marcos Albanie walikuwa watu sahihi kwangu.
 
Hawa madiwani, wabunge na wanachama wa CDM walionunuliwa kwa sasa kumebakia wakiwa yaani ni wa kuonea huruma kwa kweli...ugenini hawakubaliki..nyumbani nako ndiyo washanyea kambi....

Maisha haya jamani...kweli tamaa mbele...!!
 
Bado nasimamia nichokiandika mwaka jana.
 
Hongera Chadema kwa maamuzi magumu.
 
Mdogo mdogo tuu.iko siku
 
Mange chali..........
Chahali chali..........
Haule chali.............
Kigogo naye chali..........

Hakika hiki chama kinalindwa na Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…