Inauma sana hasa unapopenda ambapo wengine wanapaona pabaya
kuna mpaka mababa madikteta, kuwa dikteta sio lazima chama kiwe tawala
wewe huwezi kumshauri mbowe lolote la maana akakuelewa, huwezi kumshauri slaa. uwezo wako na mwisho wako ni kupinga ukweli wa upepo........hauzuiliki
chadema ni genge la wahuni wachache wanaitumia fursa ya CCM kuchukiwa na kujipatia hela.PERIOD