CHADEMA Iringa mfuatilieni Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa Mtwivila C

mzambia

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
885
60
Kumekuwa na malalamiko ya chini chini kutoka kwa wananchi kuhusu utendaji wa huyu mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa mtwivila viziwi au mtwivila C kama inavyojulikana kwenye daftari la wapiga kura.

Sipendi umbeya maana nami nimeyasikia tu kwa watu. Naombeni uongozi wa CHADEMA sehemu husika mfuatilie nyie wenyewe.
 
ungeweka hata dondoo kidogo za alichofanya huyo jamaa kurahisisha upelelezi kinyume na hapo utakua umempa imaatufu wa bure tu
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Analazimisha mambo ambayo kimsingi hapaswi kuyafanya yeye kama yeye na pia wanamtuhumu kwa rushwa na uonevu sasa hizo ni dondoo fuatilieni mengine.

Na la muhimu amekuwa akitengeneza migogoro kati ya majirani ili wagombane wkt huo yeye akiwa upande ambao atanufaika nyie fuatilieni.
 
Back
Top Bottom