Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,008
- 285,541
CHADEMA wakiona huu umati roho zinawauma sana, kijana kweli ndio alikua anakubalika kwenye ile Saccoss hebu angalia hili nyomi ujiulize chama hakina hata miezi.
View attachment 244955
View attachment 244956
View attachment 244957
Ndo uwezo wako wa kujenga hoja ulikoishia,Typical BavichaAcheni ujinga nyie wafuasi wa ZITTO. VYAMA VYOTE VILIVYOJENGWA NA UMAARUFU WA MTU HUFA KABLA YA WAKATI. BILA ZITTO ACT HAINA WATU. WALIOPO MKUTANONI NI WANASISIEMU WANAOPIMA MPANGO WA KUUA CHADEMA UTAFANIKIWA WAONGOZE HELA ZA KUFADHILI ACT? KUNDI JINGINE NI LA WANACHADEMA WANAOFUATILIA WAJUE MATUSI YA ZITTO.
cdm ni kama ANC hakuna msaliti aliyewahi kupata nafasi .
Kumbe na nyinyi mtakujachoma moto waafrika wenzenu kama ANC!
ndo uwezo wako wa kujenga hoja ulikoishia,typical bavicha
Anayepanga kuivuruga CHADEMA kwa sasa amechelewa. Huwezi kuua CHADEMA kwa siku 120. . Nguvu ya mtu mmoja kupambana na maelfu ya watu ni kupoteza muda.
Vyama vyote vilivyojengwa juu ya umaarufu wa mtu mmoja viko ukingoni:
1. DP ~ MTIKILA(HAKINA HATA MBUNGE);
2. UDP ~ CHEYO (NI MBUNGE WA MWISHO);
3. NCCR ~ MREMA ALIPOONDOKA KIMEPONA;
4. TLP ~ MREMA NI MBUNGE WA MWISHO;
5. ADC ~ HAMAD RASHID ANAONGOZA AKIWA CUF - HAKINA MATUMAINI.
6. ACT ~ TANZANIA - LIMBU BADO ANAKIPIGANIA.
7. ACT - WAZALENDO ~ ZITTO ni chama na chama ni zitto. Bila yeye hata mkutano mmoja hauendi. Bado kinapigania uhalali kwa msajili kupitia mlango wa nyuma.
mwaka huu lazima muisome, chadema tumekaba.hakuna kulala mpaka kielewekemkuu stata mzuka siasa si kama tamasha la pasaka , kwamba rose muhando akimaliza kuimba ndio basi , siasa ni mikakati endelevu , siasa ni basement , mahali ilipofika cdm hakuna msaliti atakanyaga .
Kijana,umati siyo kukubalika,hebu tuambie tangu zito ameanza mikutano yake ni wanachama wangapi wamechukua kafi za act?jibu ni hakuna,ndipo ujue wananchi wanamchora tu hata mimi akija kwetu nitaenda kumsikiliza,hicho chama kinakufa hizo pesa zikiisha.
Anayepanga kuivuruga CHADEMA kwa sasa amechelewa. Huwezi kuua CHADEMA kwa siku 120. . Nguvu ya mtu mmoja kupambana na maelfu ya watu ni kupoteza muda.
Vyama vyote vilivyojengwa juu ya umaarufu wa mtu mmoja viko ukingoni:
1. DP ~ MTIKILA(HAKINA HATA MBUNGE);
2. UDP ~ CHEYO (NI MBUNGE WA MWISHO);
3. NCCR ~ MREMA ALIPOONDOKA KIMEPONA;
4. TLP ~ MREMA NI MBUNGE WA MWISHO;
5. ADC ~ HAMAD RASHID ANAONGOZA AKIWA CUF - HAKINA MATUMAINI.
6. ACT ~ TANZANIA - LIMBU BADO ANAKIPIGANIA.
7. ACT - WAZALENDO ~ ZITTO ni chama na chama ni zitto. Bila yeye hata mkutano mmoja hauendi. Bado kinapigania uhalali kwa msajili kupitia mlango wa nyuma.
View attachment 245001Napita tu
mkuu stata mzuka siasa si kama tamasha la pasaka , kwamba rose muhando akimaliza kuimba ndio basi , siasa ni mikakati endelevu , siasa ni basement , mahali ilipofika cdm hakuna msaliti atakanyaga .
Huyu nyumbani kwake analala kibanda cha tembe! Wakwere hovyo kabisa.View attachment 245001Napita tu