hexacyanoferrate
JF-Expert Member
- May 15, 2014
- 1,232
- 792
CHADEMA wakiona huu umati roho zinawauma sana, kijana kweli ndio alikua anakubalika kwenye ile Saccoss hebu angalia hili nyomi ujiulize chama hakina hata miezi.
View attachment 244955
View attachment 244956
View attachment 244957
View attachment 244966CHADEMA wakiona huu umati roho zinawauma sana, kijana kweli ndio alikua anakubalika kwenye ile Saccoss hebu angalia hili nyomi ujiulize chama hakina hata miezi.
View attachment 244955
View attachment 244956
View attachment 244957
Hahahahahahahaha wachaga mmeanzisha threads ya kufarijiana nilishawaambia saccos yenu nyie wachaga mwaka huu ndo mwisho kutafuna ruzuku,Kafulila alishasema laana ya udini na ubaguzi itawatafuna tu,chungulieni leo Mwanza maajabu ya Mwami Mtemi Mazengo
.... Cdm Imepitia Wakati Mgumu Sana, Ugaidi Wa Kutunga, Mara Usaliti Wa Zzk, Lakin Tutafika Tu.
1.Topic haiusiani na ulichoandika ndani
2.Unasahau kitu kimoja,linganisha uwezo wa ZZK na hao wengine wote utapata jibu.
ivi ni kweli kuwa hamuwezi kujadili sera za chama bila kumzungumzia zitto na ACT?
Kijana,umati siyo kukubalika,hebu tuambie tangu zito ameanza mikutano yake ni wanachama wangapi wamechukua kafi za act?jibu ni hakuna,ndipo ujue wananchi wanamchora tu hata mimi akija kwetu nitaenda kumsikiliza,hicho chama kinakufa hizo pesa zikiisha.
huwezi kumkemea shetani bila kumtaja jina
Hahahahahahahaha wachaga mmeanzisha threads ya kufarijiana nilishawaambia saccos yenu nyie wachaga mwaka huu ndo mwisho kutafuna ruzuku,Kafulila alishasema laana ya udini na ubaguzi itawatafuna tu,chungulieni leo Mwanza maajabu ya Mwami Mtemi Mazengo
CHADEMA wakiona huu umati roho zinawauma sana, kijana kweli ndio alikua anakubalika kwenye ile Saccoss hebu angalia hili nyomi ujiulize chama hakina hata miezi.
1.Topic haiusiani na ulichoandika ndani
2.Unasahau kitu kimoja,linganisha uwezo wa ZZK na hao wengine wote utapata jibu.
we huna lolote kabisa mkioneshwa takwim mbn mzee slaa ttamuua kwa presha sema tu ACT hatutaki msjigambo wanachama kibao kwel
nna mashaka na ww unaemuita zzk shetan utakuwa unatumika kivingine
Nitakufa nikiwa mwanachama mwaminifu na mtiifu wa Chadema