Katibu mkuu wa CHADEMA taifa kwa sasa yuko hoi bin taabani kuongoza chama chake, ambacho hivi karibuni kiliweza kujizolea sifa hapa nchini, kwa kile kinacho daiwa kuwa kiliweza kutoa changamoto kubwa kwa chama tawala (CCM).
Jambo la kushangaza na kushtua kuhusu hiki chama, ni kuporomoka kwa umaarufu wake nchini, baada ya watanzania kugundua kuwa sio chama cha 'demokrasia' na 'maendeleo' kama wanavyo jipambanua, ila ni chama cha vurugu, fujo na maandamano yenye kuhatarisha amani na utulivu wa nchi.
Sifa hizi mpya kwa chama hiki, ambazo ni fujo na vurugu, zimetolewa na wananchi baada tu ya CHADEMA kumpa mamlaka Dr Slaa ya kuwa mtendaji mkuu wa chama hicho, Dr Slaa kwa siasa na mbinu zake, alidhani kwa kutumia maandamano basi ndio itakuwa njia pekee ya kuzidi kuinua jina na hadhi ya chama, kumbe imekuwa kinyume chake.
Mikakati ya Dr Slaa ya kuleta mageuzi ya siasa hapa nchini kupitia chama chake (CHADEMA) na washirika wake IMEDODA, na badala yake mikakati hiyo imefanikiwa kuondoa na kutokomeza kabisa sentensi isemayo "Tanzania ni kisiwa cha amani", na kwa sasa kuwa kisiwa cha wahanga wa mabomu.
Hoja ya msingi hapa ni kwamba, kama Dr Slaa amechemka na yuko hoi kuiongoza CHADEMA kwenye kufanya siasa za kistaarabu na safi. Je, atawezaje kuongoza nchi yetu yenye changamoto za kila aina?, haya ni mambo ya msingi sana kuhoji, kwani kushabikia uozo ambao utaenda kuliangamiza taifa sio UZALENDO hata kidogo.
kaka unapoteza muda wako kuandika upuuzi, watanzania wanakushangaa wewe na chama chako kinachoelekea jehamam; ndiyo maana mmeanza kupanga mbinu chafu za kuharibu amani ya nchi, shame on you.Katibu mkuu wa CHADEMA taifa kwa sasa yuko hoi bin taabani kuongoza chama chake, ambacho hivi karibuni kiliweza kujizolea sifa hapa nchini, kwa kile kinacho daiwa kuwa kiliweza kutoa changamoto kubwa kwa chama tawala (CCM).
Jambo la kushangaza na kushtua kuhusu hiki chama, ni kuporomoka kwa umaarufu wake nchini, baada ya watanzania kugundua kuwa sio chama cha 'demokrasia' na 'maendeleo' kama wanavyo jipambanua, ila ni chama cha vurugu, fujo na maandamano yenye kuhatarisha amani na utulivu wa nchi.
Sifa hizi mpya kwa chama hiki, ambazo ni fujo na vurugu, zimetolewa na wananchi baada tu ya CHADEMA kumpa mamlaka Dr Slaa ya kuwa mtendaji mkuu wa chama hicho, Dr Slaa kwa siasa na mbinu zake, alidhani kwa kutumia maandamano basi ndio itakuwa njia pekee ya kuzidi kuinua jina na hadhi ya chama, kumbe imekuwa kinyume chake.
Mikakati ya Dr Slaa ya kuleta mageuzi ya siasa hapa nchini kupitia chama chake (CHADEMA) na washirika wake IMEDODA, na badala yake mikakati hiyo imefanikiwa kuondoa na kutokomeza kabisa sentensi isemayo "Tanzania ni kisiwa cha amani", na kwa sasa kuwa kisiwa cha wahanga wa mabomu.
Hoja ya msingi hapa ni kwamba, kama Dr Slaa amechemka na yuko hoi kuiongoza CHADEMA kwenye kufanya siasa za kistaarabu na safi. Je, atawezaje kuongoza nchi yetu yenye changamoto za kila aina?, haya ni mambo ya msingi sana kuhoji, kwani kushabikia uozo ambao utaenda kuliangamiza taifa sio UZALENDO hata kidogo.
View attachment 98558 Mwana-CHADEMA akiwa na majeraha baada ya kupata kichapo stahiki kufuatia kukaidi kwake maagizo ya jeshi la polisi.
View attachment 98559Vijana wakiwa wameshawishika kuandamana na CHADEMA baada ya kunyweshwa viroba katika utekelezaji wa mpango mkakati wa Dr Slaa wa kuleta mageuzi ya siasa nchini.
Inaonekana bdo wewe upo analogue na haupo kwenye sayari hii yenye mfumo mwngne na fikra tofauti. Kwa kukusaidia huwezi kuwabadili watu ila watu ndio wanaobadlka kutoka na uhalisia. Kwa karne hii huwezi kukaa kmnya kama kipind cha zidumu fikra za fulani.... Kwan uelewa umeongezeka wananchi wanajua wapi kimbilio. Ndg yangu unadalili za ccmonia njoo upewe chademaquin kwa afya yako
Ujumbe umewaingia
Kama kweli hayo unayoyasema, kuwa wananchi wamebadlika na wanajua wapi kimbilio, sasa kuna haja gani ya CHADEMA kuwashwa na kufanya maandamano yao?
Si wasubiri uchaguzi ufike ili wananchi hao hao mnaosema wamebadilika waitoe CCM na wawape CHADEMA!
Kwanini kama mna amini wananchi wana lijua kimbilio lao, iweje muandae maandamano ya mara kwa mara? hii ni kero kubwa kwa wastaarabu na wapenda amani. Iweje CHADEMA ivurugie watu shughuli zao za kuzalisha kipato kwa maandamano?

Arusha ni mji wa kitalii na mlango wa kuingia TZ kwa watalii na wageni! walalahoi wengi hujipatia mkate wao tokana na sifa hizi za Arusha!
Kwanini chama cha upinzani CDM wanaitumia Arusha kuwa kitovu cha machafuko na misukosuko? kwanini hawaendi Kilimanjaro kulikoasisiwa Chadema? walalahoi wa Arusha wanataabika kwasababu Chadema wameamua kuwaadhibu wananchi wa Arusha kwa kuifanya Arusha kuwa mji wa maasi na machafuko ili Arusha iathirike kiuchumi na lengo lao la kuhujumu uchumi wa Arusha lifanikiwe!
Ombi langu kwa Wana Arusha wasikubali kutumiwa na CDM kuhujumu uchumi wa Arusha kwani watakaoathirika niwao na familia zao huku wenzao wa Kilimanjaro wakineemeka kwa kulinda amani na mshikamano wao!