Ife mara ngapiHivi Chadema bado haijafa tu hadi leo ?
Hadithi hizo huwa wana simuliana watoto wadogo.
Chadema inapukutika kama njugu
ccm inakufa na CDM inazidi kuwa imara kila kukicha.Hivi Chadema bado haijafa tu hadi leo ?
huku CCM tunaizungumzia Chadema kila siku kwani inatupa hofu maana inaonekana wanaoi support kimoyomoyo wapo wengi sana (wengine wapo ndani NEC yetu).
Chadema inapukutika kama njugu
Hawa majamaa bwana wakitoka mpaka wapige moyowe; ni sawa na mtu anaeachana na mke wake alafu anaanza kumueleza vibaya kwa watu; huo sio ustaarabu.''Mgaagaa na upwa hali wali mkavu.''
mwaka 2015 nilimpa kura jpm, mwaka 2020 inshaalah nitampa kura YEYOTE atakayesimama upande wa CHADEMA!!!.Chadema imeshakufa, haipo tena