Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 36,981
- 45,903
Kama chama cha upinzani, Chadema ilibidi kujenga chama chao katika misingi ya uwazi na uwajibikaji!
Chama ilibidi kijipambanue kutokana na chama kinachoshika dola!
Hivi karibuni kumekuwepo na muendelezo wa upokeaji wa wanachama wenye tuhuma mbali mbali katika chama cha chadema!
Wengi tumekua tukijiuliza! Je tuhuma hizo sio tuhuma kwa kila aliyepo Chadema?
Chadema INA mpango gani wa kuwa mbadala wa serikali ya sasa?
Inamaana kwa kuwapokea watuhumiwa , tuhuma walizopokelewa nazo hazitakuwa tuhuma pindi watakapoongoza dola?
Jambo hili linatatiza sana kwa kuzingatia kwamba, hakuna atayetimiza wajibu wake ipasavyo kwani anajua akiharibu anapo pa kukumbilia na kupata utetezi!
Ni hatari sana kuwa na chama cha aina hii kinachotetea wenye tuhuma mbali mbali kwani nchi itazidi kudidimia katika maovu!