GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,619
- 128,009
Leo Mtu mwenye Hadhi ya VIP hapa nchini Uganda huku AKIIHESHIMISHA Tanzania anaambiwa Hana Hela, afanye Kazi hata ya Kuuza Nyanya Sokoni ili ajikwamue Kiuchumi. Kuna Watu hapa JamiiForums mnakariri Maisha kwamba yule GENTAMYCINE wa 2017 hadi 2023 mliyekuwa ama mnamjua au mnamuona basi ndiyo huyu wa leo 2024.We popoma una akili gani zaidi ya kujaza matope tu kichwani, una msongo mkubwa sana wa mawazo kwa kukosa hela, fanya kazi hata ya kuuza nyanya sokoni ujikwamue kiuchumi
Tuonyeshe na wa ndani pia.mke wa nje wa netamyahuView attachment 3252760
Asante sanaLeo kupitia uzinduzi wa hii kampeni ya tonetone, Watanzania wote tunashuhudia ni namna gani hiki chama kina watu smart, walio na maarifa sahihi ya kulipeleka hili Taifa mbele.
Leo tunashuhudia kuwa yale maneno ya CCM kuwa CHADEMA haina watu wanaoweza kuliongoza hili Taifa ni maneno ya kipuuzi ambayo kumbe kiuhalisia ni CCM iliyokosa watu wenye uwezo sqhihi maana CHADEMA ina watu na vijana smart sana.
Katika uzinduzi wa Kampeni ya Tonetone leo, tumeshuhudia vijana wa CHADEMA walivyo na maarifa ya kuweza kuiongoza nchi yetu katika dunia hii ya sayansi na teknolojia kwa kuonesha namna gani wanaweza kukusanya michango ya kuendesha chama chao kwa kutumia sayansi na teknolojia.
Hongereni sana CHADEMA. Mungu azidi kuwanyanyua.
Hahaha papuchi iko wazi apo umekunwa panopowasha na uyo bamundaAsante sana
Mkuu cryptocurrency usiifananishe na Laki Si PesaYaani kutaka kuwatapeli watanzania na cryptocurrency sijui CHADEMA COIN ndio akili? We sema chadema kumejaa matapeli wakiongozwa na Godbless Lema
Wa ndani labda ni yeye utajuaje mkuu?Tuonyeshe na wa ndani pia.
107? 🤣CCM hakuna ubuni ni maelekezo ya Mwenyekiti na Mwenyekiti mwenyewe ana miaka 68 hana ubunifu wowote Makamo yeye ana miaka 107 ni kikongwe. Hovyo kabisa ndiyo maana wanategemea polisi pekee
Kumbe, rika la akina Mwinyi107? 🤣
Mkuu cryptocurrency usiifananishe na Laki Si Pesa
Wee jamaa unachosha na mipost yako ya shobo Sasa hizo akili za kupiga virungu ata mateja basi wako nazo teja anakupiga kavu kavu sio hao malofa wanahadaa wenzao.Leo kupitia uzinduzi wa hii kampeni ya tonetone, Watanzania wote tunashuhudia ni namna gani hiki chama kina watu smart, walio na maarifa sahihi ya kulipeleka hili Taifa mbele.
Leo tunashuhudia kuwa yale maneno ya CCM kuwa CHADEMA haina watu wanaoweza kuliongoza hili Taifa ni maneno ya kipuuzi ambayo kumbe kiuhalisia ni CCM iliyokosa watu wenye uwezo sqhihi maana CHADEMA ina watu na vijana smart sana.
Katika uzinduzi wa Kampeni ya Tonetone leo, tumeshuhudia vijana wa CHADEMA walivyo na maarifa ya kuweza kuiongoza nchi yetu katika dunia hii ya sayansi na teknolojia kwa kuonesha namna gani wanaweza kukusanya michango ya kuendesha chama chao kwa kutumia sayansi na teknolojia.
Hongereni sana CHADEMA. Mungu azidi kuwanyanyua.
Kweli. Kuna wana ccm wengine hata katiba hawaojui kabisa. Wao huamini hata viongozi wa upinzani ni matapeli na vibaka. Na pia wanaamini raiya kudai haki zao za kiraiya kama ile ya kupiga kura na kushiriki kwenye uchagizi huru nawa haki ni kuvuruga amani. Wapo humu jukwaaniBig brains ziko opposition sio CCM.
Umasikini ulionao hautamalizika kwa matusiHahaha papuchi iko wazi apo umekunwa panopowasha na uyo bamunda
Wewe unasema !? weka namba yako hapo nikutumie kibunda wewe chawa , unafikiri watu wote malofa Kama Chadomo.Umasikini ulionao hautamalizika kwa matusi
Ccm wanachama wao walishadumazwa kwa kupewa elfu 10 na kubebwa kwenye malori/ mikokoteni ,alafu ndo hao badae uteuliwa ati kuwa viongozi ,unategemea niniLeo kupitia uzinduzi wa hii kampeni ya tonetone, Watanzania wote tunashuhudia ni namna gani hiki chama kina watu smart, walio na maarifa sahihi ya kulipeleka hili Taifa mbele.
Leo tunashuhudia kuwa yale maneno ya CCM kuwa CHADEMA haina watu wanaoweza kuliongoza hili Taifa ni maneno ya kipuuzi ambayo kumbe kiuhalisia ni CCM iliyokosa watu wenye uwezo sqhihi maana CHADEMA ina watu na vijana smart sana.
Katika uzinduzi wa Kampeni ya Tonetone leo, tumeshuhudia vijana wa CHADEMA walivyo na maarifa ya kuweza kuiongoza nchi yetu katika dunia hii ya sayansi na teknolojia kwa kuonesha namna gani wanaweza kukusanya michango ya kuendesha chama chao kwa kutumia sayansi na teknolojia.
Hongereni sana CHADEMA. Mungu azidi kuwanyanyua.
Matusi na uchawi havitakusaidia lolote wewe wala wazazi wako, jifunze kujadili hoja bila kutukana, huu ndio ustaarabu wa JFWewe unasema !? weka namba yako hapo nikutumie kibunda wewe chawa , unafikiri watu wote malofa Kama Chadomo.
unawakabia kwa juuTokea nikuone hapa JamiiForums hujawahi kuwa na Akili na una vijitabia vya Wanaume wa Kinondoni Mkwajuni.
Kuna kitu gani special wamefanya hapo? Watu tuna vicoba na wajumbe wapo kwenye Diaspora na michango haikwami hata kidogo mnakuja kusifia chama kinachotaka kuongoza nchi kuwa ombaomba? Yaani hujaongoza nchi ushakuwa ombaomba? Ushamba wa wapi huu?Leo kupitia uzinduzi wa hii kampeni ya tonetone, Watanzania wote tunashuhudia ni namna gani hiki chama kina watu smart, walio na maarifa sahihi ya kulipeleka hili Taifa mbele.