Chadema kimekufa rasmi
Ninalazimika kuweka mbele ushabiki wa vyama na kuelezea wote tunachokiona. Chama hiki kilichokuwa moto moto hata kujipatia 75% ya kura alizopata Raisi wa sasa, pamoja na wizi na unyang'anyi mkubwa wa kura za wananchi, ametuangusha vilivyo. Vijana wengi wako mtaani hawana mbele wala nyuma baada ya Mbowe kushindwa kuja na mpango wa kuwawezesha kufanya kazi halali na za heshima.
Chadema na Ahadi hewa
Ninakumbuka wakati wa uchaguzi matawi ya chama hiki yalifunguliwa bila kutumia garama za chama, vijana waiohamasika walifanyakazi kama siafu ili kukitafutia chama chao ushindi. Ninaamini kabisa swala zima la kulipwa hela na Lowassa ni la kweli, na ule usaliti wa Slaa leo ndio unawatokea puani. Mapema sana tuliliona tatizo hili kubwa wakati wa chaguzi za ndani. Chama kiligeuka na kuanza kuwaibia wagombea, huku kwetu kawa, Mbunge mteule asiyguswa Halima Mdee alithubutu hata kufuta mchakato mzima eti kwa kuwa hawataki wagombea anataka watu wake, wa kabila lake. Pamoja na vikao vya jimbo kupinga upumbavu huo, Mwenyekiti wake na rafiki wake kipenzi, alilsimama nae na kusema aachwe afanye atakalo. Matokeo yake tunayaju, Kata ilipotea huku mteule wake mfinanga wa kabila lake akitaka kuchoma kituo cha kuhesabu
kura.
Uchaguzi wa viti maalumu:
Hiki nacho ni kituko kingine, wasomi wenye akili kubwa wakina Nadra na hata wale waliokuwa wakwanza kwenye kura, waliswagwa nje kwa visa na vituko, bibie Halima akaruhusiwa kuweka watu wake wakiwemo wakina martha wenye elimu za darasa la saba, ilimradi tu wanapenda kulamba miguuu ya Halima.
Makada wageuka omba omba mtaani:
Leo hii ni aibu kuwa makada vijana waliokipigania chama hiki wamejaa mitaani hawana mbele wala nyuma. Ukikutana nao unawakimbia manake umatonya kwa kwenda mbele. Mbaya zaidi wametunga style ya kukudanganya kuwa wanasubiri ajira magufuli kabana (ha ha ha). hii ni crisis kubwa sana, chama kimepalaganyika, kabaki yeye na Mashinji who is totally unpopular wakati wale wabunge wake wapambanaji wamejitenga nae. Chama kiimjaa watu waliojilimbikizia vyeo.
Ushauri Kwa CCM
Anzeni kujipanga vizuri maana sisi wa kawe huku 2020 hakuna chadema, tulishawatoa nje kwenye udiwani tukampa CCM, na 2020 CCM wekeni mgombea mzuri mengine tuachieni sisi, hamtahitaji kampeni ili mradi mchague vizuri, mambo ya uimla wa watoto wa wakubwa msiyarudie tena, wakina Kipi, Angela Kiziiga hawana uwezo, wawekeni pembeni, diwani wenu yuko vizuri msimvuruge kabisa, hii mitaa tuliowapa chadema kwa majaribio tunairudisha CCM tulieni. Mbowe na genge lake la wachepukaji wanaoendekeza ufuska ndani ya chama hawana nafasi tena. Tumeliwa jamani tuamke!!