CHADEMA imetusaliti wengi

Cdm ni chama cha maamuzi ya dj mbowe na babu ndugai
 
Kama imekusaliti hama chama yanini unaanzisha uzi kuhusu cdm kila siku?
 
we mpendazpe si umeikatika mkia yanini kulia lia we endelea tuk uwalamba viatu magamba
 
Kwa hiyo wewe ndio unataka uwe mgombea urais wa Chadema?
 
Tumekuchoka!!
 
Mtandao uliotoka CCM utawamiza sana. Mlidhani mmepata kumbe mmepatikana. Kwanza Ni BUBU. pili dhaifu sana. Anaogopa Rumande au virungu.
 
Mfate Dk slaaa Canada mpange jinsi gani ya kuanzisha UKAWA yenu ya kina Mrema, cheyo, Lipumba,na Hamad rashid
 
Kimeuzwa?? Nani ana mkataba wa mauzianoau risiti aletr hapa tuamini...? Alaf sio kukipigania chama , ni kupigania haki za watanzania...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…