CHADEMA imetusaliti wengi

Hakuna mtu kama wewe kwenye hili jukwaa
 
Chama cha majizi kiasi kwamba wanajipiga ngwala na kujiibia million 10 za posho zao wenyewe !!!

Wakipewa nchi itakuwaje??
Nawaomba watanzania wenzangu tuungane Majizi Chadema hawana nafasi.
 
CCM inataka kuturudisha nyuma kwenye 8% hii ya mwaka jana 40% imewatisha sana chini ya lowassa cdm tumeona mafanikio
 
Nilifikiri kuwa Secretariat ya CCM itabadilika ili walau badala ya buku 7 , posho ipande kidogo.....ila imekula kwenu Lumumba
 
Pole mtoa mada. Nauona uchungu na madhila ya kusalitiwa katika andiko lako. Vijibwa vidogo hivi vinavyotupiwa makombo katika miguu ya wenye chama naona vinabweka kweli kweli. Ndiyo siasa uchwara za Kiafrika hizi. Usikate tamaa na kuuacha uanaharakati wako.
 

.....mjomba km sijakosea kati ya jana au juzi ulileta uzi huku unaondoka chadema,sasa mpk leo bado hujaondoka tu?, au ulikurupuka kuanzisha uzi bila kufikiria vizuri?

hebu tuliza akili chagua moja,usituletee vioja huku!, haipendezi mtu anayejiita "baba fulani" kuwa na roho ya kuweweseka km mwanamke!
 
Wewe umeshahama chama umerudi ccm sasa ya chadema yana kuhusu nini maisha mema huko ccm maana sijui ata unapigania nini kama kweli wewe ni mwanaharakati
 
Wenye akili tumeshajua ni mmtu mwenye akili kiasi gani
 
Na kweli mmekamatwa vibaya tunawonea huruma sana ila nahc akili zenu nazo sasa ziko mikononi mwa dj ILA HAMJACHELEWA RUDINI KUNDINI zile mbinu 97 alizozisemea mzee kingunge kuwa zimebaki ccm iendele kutawala ndo bado zinawaumbua poleni sana ila kumbukeni kila unapokata tiketi ya kuingia ukumbini kucheza DISCO Mwenye anajua wimbo wa kuchezwa n DJ go on .....................................Mbowe badilisha tena gia angani rudini kundini.
 
Hahh h jana usiku wa kuamkia leo hamkulala kabisa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…