Chadema pale ilipofikia ilikuwa haihitaji CUF au NCCR kupata nguvu, ilitosha kabisa wakasonga mbele na kufikia lengo
wameongozwa na majungu, wivu, unafiki, fitina na uzushi. wamefikia mafanikio waliyoshindwa kuyabeba na kuendelez
Brand name, charter la chadema, au umaarufu wa chadema kipindi hicho ulitosha kabisa kuwaondoa CCM madarakani
wakabweteka, wakashauriwa hawakusikia, wakawapa vichwa viongozi wao ambao hawashauriki; sasa yanatokea haya ya kutokea kwa aibu kubwa na huzuni wamefika hapa
UKAWA automatically inaiua chadema, CUF na NCCR...brand name na power za hivi vyama zinapungua, huku muungano wenyewe ukitawaliwa na historia ya kudharauliana, kutukanana, na kejeli ambazo bado hazijafutwa
Kinachoonekana ni kuwa hawa wana tamaa ya madaraka tu!!! kulifuta hili gumu sana
Chadema bado wana chance ya kubadilika na kurudi walikotoka, watatue matatizo yao amicably, it is possible