CHADEMA Hawajawahi Kusema Uongo.


We chizi kweli wewe! unajua kuwa chadema milaghai hakuna mfano. Mi kwa kuanzia bado nasubiri ushahidi wa video ya mbowe ya bomu la Olasiti, halafu nimwage sumu humu.
 
Slaa pale shinyanga kwenye mkutano Wa hadhara alisimama na kuwambia watu wasimame Dk. Mona kumkumbuka mkuu Wa Mkoa Yohana balele amefariki dunia huo kwa chadema nadhani ni ukweli bila zuzu Kama ww wenye akili timamu hawawezi ishi chadema

Mapepo yamekupanda? Maana hueleweki unasema nini
 
punguani wahed. ushahidi wa bomu upo, lakini hauwezi kutolewa kwa poliCCM, ili wauchakachue, hadi itakapoundwa tume maalum ya kuchunguza ugaidi ule uliotekelezwa na CCM.

Sasa we mnywa gongo ni kipi utakachoambiwa kuwa mume wenu kadanganya ukakubali?! kila unachoambiwa hutaki! haya mwambie aupeleke ushahidi the heague.
 
Kibabu, "tutachukua madaraka mwaka huu (2010) na siment tutauza shs 5000 tu"

Uongo upo wapi? Hakuna linaloshindikana kwa nini Rwanda wameweza kufuta nyumba zote za majani na tembe? Serikali makini hubuni vyanzo mbadala vya kodi ili mahitaji ya lazima kama makazi yasiwe na kodi au ipunguzwe sana ili kila mwananchi hata wa kipato cha chini aweze kumudu.
 
Sasa we mnywa gongo ni kipi utakachoambiwa kuwa mume wenu kadanganya ukakubali?! kila unachoambiwa hutaki! haya mwambie aupeleke ushahidi the heague.

Ushahidi utapelekwa tu itapobidi.Hivi kama ccm haikushiriki,kwa nini haitaki kuunda tume huru ya kimahakama kuchunguza na kuuanika ukweli hadharani? Ina hofu ya nini kama sio kuumbuka kwa kushiri kufanya mauaji ya raia wake kwa sababu za kisiasa? Arusha wanajua kuwa ccm ilihusika na ndio maana wanaichukia hawataki hata kuisikia.
 
kibabu "kafulila ni mbunge wetu"!

Hivi unajua maana ya UKAWA? Hivi unamfahamu kiongozi wa baraza kivuli bungeni? Tatizo una akili ndogo,uwezo wako wa kufikiri unapoishia wetu ndipo unaanzia!
 
Dr slaa anasema jose mshumbushi ni mke wake kumbe uongo bali ni mke wa watu huo nao siyo uongo?

Kwa hoja kama hizi mnaendelea kuonyesha ni jinsi gani uelewa wenu wa mambo ulivyo mdogo.Haishangazi watu wanaposema mnatumiwa .Na Hii ni moja ya upumbavu kabisa inaofanya CCM.Kuwa nakakikundi cha ccm kanacholipwa kutukana watu humu ni ujinga na dalili za kushindwa.
 
"Tumekamata kontena la futi 20 limejaa karatasi za kupigia kura" Dr.W.Slaa

"CCM wameingiza mtambo wa kuiba kura" Dr.W.Slaa

"Usalama wa Taifa wameiba kura zangu Dr.W.Slaa
 
Last edited by a moderator:
"tumekamata kontena la futi 20 limejaa karatasi za kupigia kura" dr.w.slaa

"ccm wameingiza mtambo wa kuiba kura" dr.w.slaa

"usalama wa taifa wameiba kura zangu dr.w.slaa

madai yote hayo yameyeyuka na hakuna hata moja waliloonyesha huo ushahidi au kuupeleka mahakamani.

Hao ndio cdm aka saccos ya dj mbowe
 
Last edited by a moderator:
We chizi kweli wewe! unajua kuwa chadema milaghai hakuna mfano. Mi kwa kuanzia bado nasubiri ushahidi wa video ya mbowe ya bomu la Olasiti, halafu nimwage sumu humu.

Bahati mbaya sana kwamba hujielewi Na HIVYO huelewi pia unachokiongea.Kama walivyo waliowatuma ndivyo mlivyo.Mambo serious mnajibu ujinga.
 
MACCM ni masetani waongo wazungu wa unga hawana maana kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…