mgt software JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 13,793 Reaction score 7,165 Aug 20, 2015 #41 Ralph Tyler said: Kwa msimamo kama huu Dr Slaa asingeweza kuendelea kubaki Chadema. Na tena kumbe neno 'makapi' walilianzisha wao chadema, leo hii wanalilalamikia. Click to expand... Unalo limekuganda utanyooka tu
Ralph Tyler said: Kwa msimamo kama huu Dr Slaa asingeweza kuendelea kubaki Chadema. Na tena kumbe neno 'makapi' walilianzisha wao chadema, leo hii wanalilalamikia. Click to expand... Unalo limekuganda utanyooka tu
M Midavudavu JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 287 Reaction score 59 Aug 20, 2015 #42 Mtamile said: Aaaah mimi hili nililisemea mapema kabisa Dr Slaa hana huo uwezo wa kishindana na Makapi maana yeye mwenyewe ni zao la makapi hata akileta ubishi wenye chama watamuuliza mbona hata wewe ulikuwa kapi na tukakupokea na uongozi tukakupa? Click to expand... kuweni na heshima kidogo kwa viongozi wenu waliowaletea sifa katika vyama vyenu!
Mtamile said: Aaaah mimi hili nililisemea mapema kabisa Dr Slaa hana huo uwezo wa kishindana na Makapi maana yeye mwenyewe ni zao la makapi hata akileta ubishi wenye chama watamuuliza mbona hata wewe ulikuwa kapi na tukakupokea na uongozi tukakupa? Click to expand... kuweni na heshima kidogo kwa viongozi wenu waliowaletea sifa katika vyama vyenu!
ILAN RAMON JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 10,292 Reaction score 4,967 Aug 20, 2015 #43 mpenzazoe hakuenguliwa ila alijiondoa mwenyewe kabla bunge la9 halijavunjwa
A Aman Mulagizi Senior Member Joined Jul 28, 2015 Posts 155 Reaction score 22 Aug 20, 2015 #44 Tatzo m'ekariri wanachotaka wananchi, CCM wanafanya wanachohitaji wananchi hyo ndiyo shida yenyewe.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Aug 20, 2015 #45 Hayo mliyochukua ni makapi tosha, trust me.