Mwaka huu tunachukua mkuu gwamaka aswile Lengo ni kumgong'oa kwanza mkoloni mweusi CCM pmj na vibaraka wake. Subirini sindano iwaingie vizuri ndio mtajua Edward Lowassa ni nani
Kababu kameuzwa na wazee wa kwa Tarakea sasa kanalazimishwa kutoa singo mpya ya kumsafisha mamvi ..huyu mzee ajiuzuru tu kuwa katibu mkuu make wenye chama wamemgeuka
Lissu,Mnyika,Halima Mdee pamoja na Dr.Slaa,kwa kubakiza heshima yenu ndogo iliyobaki achieni madaraka ndani ya chama mmbaki kama wanachama wa kawaida tu.Vinginevyo mnazama na CDM