Kilichotokea leo kati ya Dr Slaa na Rose Kamili si chema kwa MUSTAKABALI wa chama so ni vizuri WANACHAMA muanze kufikiria hatima ya chama na mgombea URAISI.Nimefikiri hili vizuri nimebaini mwisho wa SLAA utakuwa kama akina MREMA na LIPUMBA nao walijikuta katika kashfa kama hizo.Dr Slaa amezidi kidogo kwa kuwa amezini na rose kamili then amekuja kuzini na mushumbuzi huku akiwa ni Padri.....
Duuh! ohh! ayyah! toba toba! mmh!ayyi mtu mwongo huyu! he he! angalia asivyo na haya! uuuwi !aibu yaani unatuletea khabari za tabiri za kizushi hapa?hebu tupishe!Kilichotokea leo kati ya Dr Slaa na Rose Kamili si chema kwa MUSTAKABALI wa chama so ni vizuri WANACHAMA muanze kufikiria hatima ya chama na mgombea URAISI.Nimefikiri hili vizuri nimebaini mwisho wa SLAA utakuwa kama akina MREMA na LIPUMBA nao walijikuta katika kashfa kama hizo.Dr Slaa amezidi kidogo kwa kuwa amezini na rose kamili then amekuja kuzini na mushumbuzi huku akiwa ni Padri.Najua kuna kuteleza ila slaa alizidi. So nashauiri tufikirie tuanze kujipanga kwa MGOMBEA URAIS ili tuanze kumshape huyo mgombea wetu mapema.Tukiendelea kumfikiria slaa ni kuendelea kupunguza kura 2015 kwani hataongeza kura tena bali zitapungua. Ni UKWELI usiopingika kwamba hakuna mtu asiyejua UJASIRI wa slaa lakini kwa sasa no way.Pia ili kuondoa DHANA ya kukifanya chama kionekane cha kikatoliki kutokana na slaa kuwa PADRE.Mimi ni mkristo nisingependa nitawaliwe na SHEHE au MUFTI so hata WAISLAMU hawatajisikia vizuri kuongozwa na PADRE so ili kuepusha tafsiri kama hizo nashauri TUNDU LISU au ZITO KABWE waandaliwe kushika wajibu huo mapema kwani wao hawajawahi kuwa VIONGOZI WA KIDINI hivyo watakubalika na pande zote WAISLAM na WAKRISTO. Ni vizuri tujue kwamba baada ya UCHAGUZI UJAO KAMA Chadema hakitashinda kitakachofuata ni MIGOGORO NA KUSAMBARATIKA REJEA NCCR na CUF.CHAMA kikishafika kileleni-piki kisipopata USHINDI kinaanza kuandamwa na mizozo so tujiandae.Mungu ibariki CHADEMA.
Kilichotokea leo kati ya Dr Slaa na Rose Kamili si chema kwa MUSTAKABALI wa chama so ni vizuri WANACHAMA muanze kufikiria hatima ya chama na mgombea URAISI.
Nimefikiri hili vizuri nimebaini mwisho wa SLAA utakuwa kama akina MREMA na LIPUMBA nao walijikuta katika kashfa kama hizo.Dr Slaa amezidi kidogo kwa kuwa amezini na rose kamili then amekuja kuzini na mushumbuzi huku akiwa ni Padri.
Najua kuna kuteleza ila slaa alizidi. So nashauiri tufikirie tuanze kujipanga kwa MGOMBEA URAIS ili tuanze kumshape huyo mgombea wetu mapema.
Tukiendelea kumfikiria slaa ni kuendelea kupunguza kura 2015 kwani hataongeza kura tena bali zitapungua. Ni UKWELI usiopingika kwamba hakuna mtu asiyejua UJASIRI wa slaa lakini kwa sasa no way.
Pia ili kuondoa DHANA ya kukifanya chama kionekane cha kikatoliki kutokana na slaa kuwa PADRE.Mimi ni mkristo nisingependa nitawaliwe na SHEHE au MUFTI so hata WAISLAMU hawatajisikia vizuri kuongozwa na PADRE so ili kuepusha tafsiri kama hizo nashauri TUNDU LISU au ZITO KABWE waandaliwe kushika wajibu huo mapema kwani wao hawajawahi kuwa VIONGOZI WA KIDINI hivyo watakubalika na pande zote WAISLAM na WAKRISTO.
Ni vizuri tujue kwamba baada ya UCHAGUZI UJAO KAMA Chadema hakitashinda kitakachofuata ni MIGOGORO NA KUSAMBARATIKA REJEA NCCR na CUF.CHAMA kikishafika kileleni-piki kisipopata USHINDI kinaanza kuandamwa na mizozo so tujiandae.
Mungu ibariki CHADEMA.
Nape hongera sana vijana wako wanajitahidi sana hapa jf,nashauri sasa uwalipe padiem.hivi yule dada clinton alimnanii hii kule waiti hausi anaitweje?
Kuanzia sasa Dr Slaa akae mbali kabisa na huyu mzazi mwenzake. Hizi sumu zinazoingizwa nchini na serikali wanaweza kumpa huyu mama azifanyie kazi. Ile kauli ya Wasira kuhusu kusambaratika kwa CDM bado inanitisha.Nenda kamuulize ROSE KAMILI tangu 2009 hadi 2012 mwenzake (Josephine)alipokuwa akitambulishwa rasmi kuwa ndiye mke mtarajiwa wa Dr. Slaa alikuwa wapi?????...... ukishapata hilo jibu ndio uje na mada yako tuendelee kuchangia!!
Mkuu siwezi kuingilia maamuzi yako,kimsingi nayaheshimu.However,inavyoonekana umeonyesha msimo wenye hoja dhaifu,hii inafanana na mwanaume aliyeulizwa kwanini amempenda yule msichana na kujibu yani mimi nimetokea kumpenda tu!Mimi siwezi pigia mtu kura anayeropoka ropoka tu..i like poeple who adrress issues with facts katika hali ambayo mpokeaji anashawishika nayo..huwaga hata sizielewi hotuba za slaa maana masikio yangu hayawezi vumilia kelele kama zake..ajifunze kuongea taratibu kwa upole akiporomosha material bila kutumia nguvu nyingi sana na kelele..wengine hatumuelewi
Mkuu siwezi kuingilia maamuzi yako,kimsingi nayaheshimu.However,inavyoonekana umeonyesha msimo wenye hoja dhaifu,hii inafanana na mwanaume aliyeulizwa kwanini amempenda yule msichana na kujibu yani mimi nimetokea kumpenda tu!
Mkuu unanitatiza eneo moja tu,mbona wanasiasa rafuzi zao zinafanana kwa kiasi kikubwa?kama waropokaji CCM,CUF,NCCR wapo wengi sana,vipi uropokaji wa slaa ndiyo iwe issue kubwa kwako?inavyoonekana unakitu moyoni zaidi ya hayo uliyoyasema,ingawa hutaki kuyaweka hadharani,mwisho naheshimu msimamo wako,lakini sikubaliani na hoja,imani au mtazamo unaojenga msimamo wako!Unakosea sana mzee kusema kua hoja yangu ni dhaifu..naamini kuwa kuna wengi kama mimi wenye mawazo kama yangu, na ndio yanawafanya wasimpigie kura huyo bwana..kuna vitu ambavyo unaweza ona vidogo vikawa na impact kubwa kuliko unavyodhani..hisia pekee hujenga imani..kama hisia hamna basi imani hakuna..imani ndio mwanzo wa kila kitu..bila hiyo matendo hakuna..mimi sina imani na waropokaji period..ninahisi kua they have no substance at all
(Pia ili kuondoa DHANA ya kukifanya chama kionekane cha kikatoliki kutokana na slaa kuwa PADRE.Mimi ni mkristo nisingependa nitawaliwe na SHEHE au MUFTI so hata WAISLAMU hawatajisikia vizuri kuongozwa na PADRE so ili kuepusha tafsiri kama hizo nashauri TUNDU LISU au ZITO KABWE waandaliwe kushika wajibu huo mapema kwani wao hawajawahi kuwa VIONGOZI WA KIDINI hivyo watakubalika na pande zote WAISLAM na WAKRISTO. )