CHADEMA hamuwezi kushinda uchaguzi TZ

Heee!!! Naona umejitokeza, vizur sana. Sasa tuanze na hili, imekuaje bado unaendelea na masomo hapo UDOM hali ya kuwa Jesca wenzako wamefukuzwa? Ina maana Ujeska wako ni tofauti na Ujeska wa wale wengine?
 
Huo ndio ukweli
Lakini kwakuwa CDM imejaa VILAZA hilo hawalikubari
 
Heee!!! Naona umejitokeza, vizur sana. Sasa tuanze na hili, imekuaje bado unaendelea na masomo hapo UDOM hali ya kuwa Jesca wenzako wamefukuzwa? Ina maana Ujeska wako ni tofauti na Ujeska wa wale wengine?
Wacha kuunga chumvi kwenye chai
Huwezi pita wima
 
Mngekuwa na uhakika wa kushinda kwa halali nguvu mnazotumia katika chaguzi zote ni za nini?
 
Moja ya thread ya ukweli toka JF ianze..CDM wengi wako pale kwa ajili ya ruzuku na kuchumia tumbo lakini kushinda uchaguzi TZ hio ni ndoto ya mwendawazimu. Kula tano mleta uzi...hapa kazi tuu.
 
Mtalia mnavyotaka, mtalalamika mnavyotaka, mtaponda mnavyotaka lkn mwisho wa siku hamuwezi kushinda uchaguzi TanZania hata iweje na kama kuna ukweli wowote ule Dunia hii basi ndiyo huwo!
Barbosa kwanini mjione mna haki katika maswala yanayoamuliwa na wananchi ?!
1. Ni kukubalika au hila ?!
2. Kwa imani hizo mlizonazo kwa nini time isiwe huru muone ukweli wa wananchi ulivyo?! Mshindani mzuri ni yule anaeamini katika usawa.
3. Hata kama si Chadema lakini ccm haiwezi kuitawala nchi hii daima! !!
 
mwenyekiti wao hana vision angekuwa na visioni angeanza kuandaa makada na viongozi wa baadaye wa chadema ikifika wakati wa uchaguzi anasubiri ni wakina nani wanatemwa ccm ndio awachukue kwa mtindo huu chadema watabaki kuisikia ikulu kwenye bomba
 
Ni kweli si CHADEMA TU CHAMA CHOCHOTE CHA UPINZANI ISIOTE KUSHINDA URAIS KWA KATIBA HII ILIOPO.
 
Mleta uzi, ukweli mchungu lkn inabidi uwekwe hadharani ili watu wauone. Kwa tume hii ya mafisiem si chadema tu bali chama chochote cha upinzani hakitopata kuing'oa ccm madarakani.

Lkn ikitokea kwa bahati mbaya yoyoyte ile tume ikawa huru ccm itachinjiliwa mbali 100%.
 
Back
Top Bottom