CHADEMA haiwezi kufa

Mr No fair

Member
Joined
Oct 25, 2020
Posts
84
Reaction score
127
Katika jambo muhimu la kulielewa DOLA CHADEMA haiwezi kufa wakati bado ipo moyoni mwa Watanzania.

Unaweza kutumia kila njia kumshawishi mwanamke umuoe kama kuna mtu ambaye yeye anampenda huwezi kamwe kamwe zaidi utajiongezea machungu kwa kushindwa kumtawala vizuri kutokana visa vyake.

Sisi Watanzania hatutochoka kumuonyesha visa huyu aliyejiweka juu eti atutawale.

Nimeamini sometimes sura mbaya ya mtu inaendana na MOYO wake
 
Nani Anataka Kuiuwa
Ukweli ni kwamba tatizo sio viongoz wa Chadema tatizo ni ss tunaowapa viburi viongoz hao na hata viongoz wakitugeuka sisi tutaendelea kuamini tunachokiamini.
 
Ukweli ni kwamba tatizo sio viongoz wa Chadema tatizo ni ss tunaowapa viburi viongoz hao na hata viongoz wakitugeuka sisi tutaendelea kuamini tunachokiamini
Mfano mpka sasa kuna kikao kinachoendelea baina ya Viongoz wa CHADEMA na tume ya Uchaguzi ili kupitisha wabunge viti maalumu 22 ila sisi kama watawapitisha hatutokuwa upande wao hata kidogo Tutaendele kuusema ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…