Viongozi wa chama changu Cha CCM ambao wameiongoza nchi hii tangu baada ya uhuru hadi sasa. Viongozi ambao wameiongoza nchi hii kwa amani na upendo kiasi hata wewe unaishi kwa amani na familia yako kama unayo.
Yule Mzee lazima anatumia dawa za Pressure na kisukari, kwahiyo wanasubiri Sukari ishuke kisha waanze kumponda Kwa hoja ngumu hadi akapewe Kitanda Kwa Prof Janabi 🤗