CHADEMA fursa hii isiwapite

Lordita

Member
May 11, 2017
16
16
Tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini mwaka 1992, vyama vilivyoanzishwa mwaka 1992 na hata badae vimeendelea kutokua na kushindwa kujimalisha ktk maeneo mbalimbali. Ila kwa upande wa CHADEMA kwa kiasi fulani ni chama kilichoonesha uthubutu juu ya kukua na kujipanua maeneo mengi ya nchi ukilinganisha na vyama vingine vya upinzani.

Hivyo basi CHADEMA kama chama kilichofanikiwa kwa kiasi fulani juu ya hili lazima kitambue hii ni fursa kubwa na adimu ktk chama chochote cha siasa hasa chama cha upinzani km CHADEMA, ni lazima fursa hii ilindwe km mboni ya jicho tena kwa gharama yoyote ili izidi kukomaa zaidi.

Ni jukumu kuu la viongozi na wadau wa CHADEMA kuhakikisha chama kinaenenda ktk dira ileile ya kujipanua na kushamili maeneo mengi ya nchi hii, hata siku moja viongozi wasije ifanya CHADEMA kuwa ya sehemu mojo tuu au ya watu wachache tuu kwani hii itaondoa lengo la chama na kutekeleza lengo la wachache.

Nisisitize kuwa fursa mama ya CHADEMA ni kufanikiwa kukuwa na ipo ndani ya vichwa na nyoyo za watu maeneo mengi ya nchi. Pia kuna fursa kadhaa mbali na hii ambazo CHADEMA inaweza tumia kujizatiti kadri mda unavyo kwenda;

Moja ni kuchokwa kwa ccm, ukweli ni kuwa ccm imechokwa na wananchi hasa tabaka la chini ambao ndio wengi hivyo chadema inapaswa kudhihilisha ni namna gani ni mbadala wa ccm hasa maeneo wanakoongoza na wale viongozi wakuu kutoa dira.

Mbili aina ya uongozi wa serikali ya sasa.
 
Chadema kimekuwa ni sawa na zigo la misumari.
Unatoa ushauri wenzako wako bize kushughulikia kula ruzuku hakuna anaejali hayo unayoyasema,mambo yote ufipa
 
Umoja wao ndi yao njia pekee ya kuweza kuya fikia malengo waliyo yakusudia
 
Tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini mwaka 1992, vyama vilivyoanzishwa mwaka 1992 na hata badae vimeendelea kutokua na kushindwa kujimalisha ktk maeneo mbalimbali. Ila kwa upande wa CHADEMA kwa kiasi fulani ni chama kilichoonesha uthubutu juu ya kukua na kujipanua maeneo mengi ya nchi ukilinganisha na vyama vingine vya upinzani.

Hivyo basi CHADEMA kama chama kilichofanikiwa kwa kiasi fulani juu ya hili lazima kitambue hii ni fursa kubwa na adimu ktk chama chochote cha siasa hasa chama cha upinzani km CHADEMA, ni lazima fursa hii ilindwe km mboni ya jicho tena kwa gharama yoyote ili izidi kukomaa zaidi.

Ni jukumu kuu la viongozi na wadau wa CHADEMA kuhakikisha chama kinaenenda ktk dira ileile ya kujipanua na kushamili maeneo mengi ya nchi hii, hata siku moja viongozi wasije ifanya CHADEMA kuwa ya sehemu mojo tuu au ya watu wachache tuu kwani hii itaondoa lengo la chama na kutekeleza lengo la wachache.

Nisisitize kuwa fursa mama ya CHADEMA ni kufanikiwa kukuwa na ipo ndani ya vichwa na nyoyo za watu maeneo mengi ya nchi. Pia kuna fursa kadhaa mbali na hii ambazo CHADEMA inaweza tumia kujizatiti kadri mda unavyo kwenda;

Moja ni kuchokwa kwa ccm, ukweli ni kuwa ccm imechokwa na wananchi hasa tabaka la chini ambao ndio wengi hivyo chadema inapaswa kudhihilisha ni namna gani ni mbadala wa ccm hasa maeneo wanakoongoza na wale viongozi wakuu kutoa dira.

Mbili aina ya uongozi wa serikali ya sasa.
Wamejipanga Tayari wanasubiri msiba mwingine au janga ili kuonedha umuhimu wao wa kubishana na serikali kuhusu rambirambi,wewe unazungumzia kuitoa CCM madarakani na wenyewe wanafikiria kuwatoa kwenye kamati ya maafa.
 
Tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini mwaka 1992, vyama vilivyoanzishwa mwaka 1992 na hata badae vimeendelea kutokua na kushindwa kujimalisha ktk maeneo mbalimbali. Ila kwa upande wa CHADEMA kwa kiasi fulani ni chama kilichoonesha uthubutu juu ya kukua na kujipanua maeneo mengi ya nchi ukilinganisha na vyama vingine vya upinzani.

Hivyo basi CHADEMA kama chama kilichofanikiwa kwa kiasi fulani juu ya hili lazima kitambue hii ni fursa kubwa na adimu ktk chama chochote cha siasa hasa chama cha upinzani km CHADEMA, ni lazima fursa hii ilindwe km mboni ya jicho tena kwa gharama yoyote ili izidi kukomaa zaidi.

Ni jukumu kuu la viongozi na wadau wa CHADEMA kuhakikisha chama kinaenenda ktk dira ileile ya kujipanua na kushamili maeneo mengi ya nchi hii, hata siku moja viongozi wasije ifanya CHADEMA kuwa ya sehemu mojo tuu au ya watu wachache tuu kwani hii itaondoa lengo la chama na kutekeleza lengo la wachache.

Nisisitize kuwa fursa mama ya CHADEMA ni kufanikiwa kukuwa na ipo ndani ya vichwa na nyoyo za watu maeneo mengi ya nchi. Pia kuna fursa kadhaa mbali na hii ambazo CHADEMA inaweza tumia kujizatiti kadri mda unavyo kwenda;

Moja ni kuchokwa kwa ccm, ukweli ni kuwa ccm imechokwa na wananchi hasa tabaka la chini ambao ndio wengi hivyo chadema inapaswa kudhihilisha ni namna gani ni mbadala wa ccm hasa maeneo wanakoongoza na wale viongozi wakuu kutoa dira.

Mbili aina ya uongozi wa serikali ya sasa.
Paragraph ya mwisho ni changamoto kubwa itakayowafanya waendelee kuwa kambi ya upinzani bungeni na serikalini kwa muda mrefu!
 
Back
Top Bottom