CHADEMA fundraising Itilima

sapiwi

Member
Joined
May 29, 2014
Posts
17
Reaction score
5
Makamanda ABINGE HE NGUZU. Napenda kuwaomba na kuwakumbusha kuhudhuria sherehe ya harambee ya kuchangia Chadema ndani ya mkoa mpya wa Simiyu kwenye wilaya mpya ya Itilima itafanyika tarehe 28 mwezi huu katika ukumbi wa Bariadi Motel kuanzia saa nne asb. Sherehe hiyo itaambatana na uzinduzi wa album ya nyimbo mpya za chadema za mwimbaji Mwanamapinduzi, naye akisindikizwa na waimbaji mbalimbali wa mziki wa Injili. Makamanda kutoa ni moyo na chadema itajengwa na wanachadema wenyewe. Unaweza kuchangia pia kupitia M-pesa no. 0763155516 ina jina la CHADEMA ITILIMA. Karibuni wote. Ni mimi kamanda M/ kiti mkoa_Simiyu
 
kamanda la ninatamani niwepo tar hizo,,,,, nikifika nitawatafuta..ongereni sana...
 
Mwnamapinduzi anazindua nyimbo zachadema kln wasndikizaji wa nyimbo zalnjili wekasawa ieleweke Kamanda piiiiiiiiipoooooopzz mamoja sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…