Kwa hiyo kaalikwa katika vikao vya kawaida au visivyo rasmi?......... Padri Kitima hana kadi ya chama hicho na hajawahi kualikwa katika vikao rasmi vya chama hicho
Kusema watu wasitekwe ndio kujihusisha na CHADEMA?Kwa maelezo yako ni kwamba amekua akijihusisha sio kwamba ni mwanachama.... Kwamaana nyingine KITIMA NI KADA
Ulichokiona ni kutekwa tu???Kusema watu wasitekwe ndio kujihusisha na CHADEMA?
yes ni kweli,Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekanusha madai ya Padri wa Kanisa Katoliki Dk Charles Kitima kuhusishwa na siasa za chama hicho kikieleza kwamba si mwanachama wa chama hicho na wala hajawahi kualikwa kufanya siasa za chama hicho.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka katika chama hicho, Padri Kitima hana kadi ya chama hicho na hajawahi kualikwa katika vikao rasmi vya chama hicho wala kufanya kampeni yoyote inayokihusisha chama hicho kama ambavyo imekuwa ikidaiwa na baadhi ya wananchi.
Katika barua iliyoandikwa na baadhi ya waumini wa Kanisa Katoliki Tanzania kwenda ubalozi wa kanisa hilo hapa nchini imedaiwa Padri Charles Kitima amekuwa akijihusisha na siasa za CHADEMA jambo ambalo ni kinyume na taratibu za kanisa hilo.
Waumini hao wameomba kuchukuliwa hatua dhidi ya Padri Kitima kwa kile kilichodaiwa kuharibu taswira ya kanisa hilo kwa kuonekana kujihusisha na harakati za kisiasa.
View attachment 3526553
Chanzo: Nipashe
Je dini ya liislamu inaruhusu kupiga risasi raia wako?Ulichokiona ni kutekwa tu???
Wewe mbona unamwini muddy alonyonya fc libolo ya kijana ya madrasatMimi binafsi namuona km mpuuzi, kafiri Moja TU . Hana lolote zaidi ya ufala kumjaa kichwani. Wewe jitu Zima msomi unaabudu sanamu.
CHADEMA hawajuagi kutojumuisha. Wao wana neno "WOTE TU".CHADEMA wawe straight!Wasijumuishe wananchi wote.Waseme ni wana-CCM ndiyo wanatengeneza uongouongo kwa Father Kitima ili kukwepa hasira za Watanganyika.Kwisha.
Unanieleza mimi au utawaandikia CHADEMA waraka uupeleke ofisini kwao?CHADEMA hawajuagi kutojumuisha. Wao wana neno "WOTE TU".
Utasikia eti watanzania wote hawamtaki Dr Samia. Weeeeeeeee! Acheni kudanganya dunia. Na acheni kauli ya WOTE....
Mtajuana wenyewe...Hoja tayari. Mi nimemwaga mchele.....Unanieleza mimi au utawaandikia CHADEMA waraka uupeleke ofisini kwao?
Umekunya pembeni ya tundu la choo halafu unatoka nje huku unacheka kama zuzu?Mtajuana wenyewe...Hoja tayari. Mi nimemwaga mchele.....
Hawa ndio CHADEMA waliotaka kushika nchi 29okt. Wenyewe tafakarini hoja zake. Nukta!Umekunya pembeni ya tundu la choo halafu unatoka nje huku unacheka kama zuzu?
Kadi zao za uanachama ni namba ngapi ili usijioneshe usivyopenda kutawaza?Hawa ndio CHADEMA waliotaka kushika nchi 29okt. Wenyewe tafakarini hoja zake. Nukta!
HUU NI UPUMBAVU.Mimi binafsi namuona km mpuuzi, kafiri Moja TU . Hana lolote zaidi ya ufala kumjaa kichwani. Wewe jitu Zima msomi unaabudu sanamu.
Ukiingia China kununua vitunguu mara hiyohiyo unakuwa mchina?CHADEMA na huyo Kitima wanatuona kama wapumbavu wenzao? Kitima, Bagonza na Mwamakula ni wanaCHADEMA. Hao hupanda hadi kwenye majukwa ya CHADEMA halafu sasa wanakana wao sio wanaCHADEMA. Upuuzi mtupu.