Wadau,
Mnaonaje CHADEMA wakianzisha clothing line kama hii katika kujiendesha kibiashara kujiandaa na uchaguzi 2015.
Ni maoni yangu tu maana supporters wengi wa CHADEMA ni vijana, na unajua mambo ya jeans.....
Hiyo idea nimeipenda sana I hope wahusika wa Chadema wameupokea ujumbe na wanaweza kuufanyia kazi vijana tupo tutanunua za kutosha tuvae kila siku tukikitangaza chama chetu kwa nguvu zote though wakubwa wanaweza anzisha sheria ya ghafla hakuna kuvaa jeans haa haaa maana nchi hii imetafunwa hadi natamani kulia. Peoples power please fuata ushauri
Hii ni nzuri ngoja kidogo niangalie kama kuna mtaji wa kutosha kuprint t shirt za
kutosha hapa Arusha najua nitapiga Bingo ila asilimia kadhaa lazima iende kwa chama
Mie ninaafiki sana, zaidi tshirt izo zimesimama, napendekeza ziwe quality sio kama zile magamba wanazowapa bure wafuasi wao, za rangi mbalimbali na pia nembo isiwe kubwa sana ila iwe visible apa sehemu ya mfuko, bana tutazigombania, plz cdm fanyeni fasta ktk ili wazo