EasyFit
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 1,269
- 1,082
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA, kimesema kipaumbele chao sasa ni kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.
Tayari baadhi ya vyama vinavyounda UKAWA vimeshaanza mchakato wa kuwapata wagombea wao wa urais. Chama cha wananchi CUF kimempendekeza Prof. Lipumba kukiwakilisha wakati NCCR kimesema kitamtangaza mgombea wao mwezi ujao, NLD wao wamesema wanasubiri maelekezo ya UKAWA.
Binafsi nafikiri ni uamuzi mzuri.
Source: Magazetini leo.