CHADEMA chama cha kwanza cha upinzani Tanzania kupata mbunge

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
886
206
Katika historia Amani Walid Kabour alichaguliwa kuwa mbunge wa CHADEMA Kigoma Mjini mbele ya NCCR Mageuzi na CUF.Hivyo CHADEMA itakuwa chama cha kwanza Tanzania kukamata dola 2015.
 
Katika historia amani walid kabour alichaguliwa kua mbunge wa chadema kigoma mjini mbele ya nccr mageuzi na cuf,hivyo chadema itakua chama cha kwanza tz kukamata dola 2015

Haaah! Haaah! Watu mbona mnaota mapema hivi wengine hata kitandani hatujapanda??!
 
Katika historia amani walid kabour alichaguliwa kua mbunge wa chadema kigoma mjini mbele ya nccr mageuzi na cuf,hivyo chadema itakua chama cha kwanza tz kukamata dola

Unaitabiria nchi kuongozwa na masela 2015? Ndoto nyingine bwana..
 
utakuwa umevurugwa wewe, sidhani kama itakuwa hivi hivi tu. au dola unamaanisha tengeru itajitenga ili iwe dola inayojitegemea?

Katika historia amani walid kabour alichaguliwa kua mbunge wa chadema kigoma mjini mbele ya nccr mageuzi na cuf,hivyo chadema itakua chama cha kwanza tz kukamata dola 2015
 
utakuwa umevurugwa wewe, sidhani kama itakuwa hivi hivi tu. Au dola unamaanisha tengeru itajitenga ili iwe dola inayojitegemea?

kama unauhasama na tengeru basi kwenye ubongo siamini kama kuko sawa,maana hata masihi wote na mitume huwa hatuhoji kwanini wanatokea mashariki ya mbari!.
Kwa taarifa tu ni kwamba hata masojaz wamesha ikacha c.c.m kama unabisha subiri.
 
Katika historia amani walid kabour alichaguliwa kua mbunge wa chadema kigoma mjini mbele ya nccr mageuzi na cuf,hivyo chadema itakua chama cha kwanza tz kukamata dola 2015

Riziki,

Chadema ndicho chama cha kwanza kuwahi kumwingiza Mwenyekiti wa Kijiji wa Kwanza mwaka 1994 katika kijiji kimoja huko Karatu kinaitwa Gongali na Mwenyekiti mwenyewe anaitwa Simon Kibola.

Uchaguzi wa huyu mwenyekiti ulirudiwa kwa zaidi ya mara nne chini ya usimamizi wa defender za polisi kutoka Arusha Mjini lakini mwishowe kura za wazi ndizo zilizomfanya ashinde.

Source Mdau wa Chadema Karatu..
 
Katika historia Amani Walid Kabour alichaguliwa kuwa mbunge wa CHADEMA Kigoma Mjini mbele ya NCCR Mageuzi na CUF.Hivyo CHADEMA itakuwa chama cha kwanza Tanzania kukamata dola 2015.

Dola gani? Kama kuna dola ya wachaga hapo sawa. Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kufikiria kuwakabidhi hii nchi hao failures. Shule walishindwa! Wataweza nchi? Try to be serious.
 
Back
Top Bottom