Umemnukuu aliekuwa mwenyekiti wa chama ambacho serikali yake imeshindwa kutuondoa kwenye huu umasikini, ujinga, na maradhi, miaka 60 baada ya kupata uhuru.
Kama unaamini Mbowe amefeli kwanini mlienda na zile kura kwenye mabegi meusi, na kina Mahera na polisi wakawapa ushirikiano ili kuwahakikisha ushindi?