Wakuu Najua Ntajuta Kwa Crash Ntazopata Hapa Lakini Nilazima Niseme Na Pakusemea Mimi Ni Hapa Tu
Binafsi Mimi Kama Mwanachama Hai Wa Cdm Napenda Sana Kwa Mikakati Yake Na Haswa Pale Walipoweza Kupambana Na Hujuma Za Ccm Ambayo Hutumha Dharama Yoyote Kudhofisha Upinzani.
CHADEMA Kama Wanavyojiita Kuwa Wao Ni Mpango Wa Mungu Wameweza Kupambana Na Hujuma Izi Na Twaweza Sema Wamefanikiwa Kwa Kiwango Cha Juu Wananchi Wamewaelewa Ila Tatizo Ni Kuwa Nani Sasa Alie Bora Cdm Asimame Awe Rais Wetu Atukomboe
Nianze Na Slaa Umri Umepa Mkono Na Tunaona Kama Kazi Hi Inamwitaji Kijana Mwenyd Ari Na Nguvu
Mbowe Elimu Yake Haitoshi Na Pia Si Mtu Anayeweza Kufit Kwenye Ikulu Yetu Tukufu Kutokana Na Kujichanganya Na Kila Mtu Kama Rais Wetu Wa Sasa Alivyokuwa. Sasa Nani Bora Chadema Tumpe Mikoba Atuvushe?