Emmanuel N Nkuba
Member
- Jul 21, 2014
- 12
- 2
Ndugu wanabukene na kata zote za jimbu la bukene tunapenda kuwataarifu kua 26 julai 2014 diwani wakata ya bukene ndg Omary Omary atafanya mkutano ktk uwanja wa Igembe Sabo atajibu maswali atakao ulizwa na wapiga kura wake.
Maada kuu ni kuhusu ujio wa kamchape hawa watu wapo kibiashara na ushirikina zaid wakidai wao wanatoa na kunyanganya et uchawi inalazimika kila kaya elf kumi.jambo ambalo diwani halitaki kabisa waibiwe wapiga kura wake karibuni nyote.
Peopleeee's