Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,621
- 10,841
Bundle sawa na bure watukane ila wanadisapoint. We want a new challenge, na ni kwaajili ya Tanzania sio chadema wala Ccm wala awadh wala Samiaunawaambia ukweli lakini wataishia kupata mihemko, kushupaza shingo na kuporomosha matusi tu
wanaelewa sasa,Bundle sawa na bure watukane ila wanadisapoint. We want a new challenge, na ni kwaajili ya Tanzania sio chadema wala Ccm wala awadh wala Samia
Inawezekana sijui sana ila chadema yapaswa mbadirike kwenye ungwe hii ya sias.
Chadema is a story teller, na wapuuzi wote wanaojiita wananchi na kuhuzunika na chadema mnajipotezea muda na kujitukana pasi na sababu yoyote ya maana...
Hata kuwa hardliners hawajafikia, mfano nini wamefanya?In other words una washauri wawe diplomatic kuliko kuwa hardliners? And kiss gov as***?
Chama chakavu naliona linavyojifukulia kaburi lake kwa kasi,kwa kutumia mikono yake lenyewe.Inawezekana sijui sana ila chadema yapaswa mbadirike kwenye ungwe hii ya sias.
Chadema is a story teller, na wapuuzi wote wanaojiita wananchi na kuhuzunika na chadema mnajipotezea muda na kujitukana pasi na sababu yoyote ya maana...
BADIRIKENI ❌❌Inawezekana sijui sana ila chadema yapaswa mbadirike kwenye ungwe hii ya sias.
Chadema is a story teller, na wapuuzi wote wanaojiita wananchi na kuhuzunika na chadema mnajipotezea muda na kujitukana pasi na sababu yoyote ya maana.
Kinachotakiwa ni either, kama kuna kitu hakiko sawa basi chadema wakiongoze kwa kuishauri serikali, at the same time wakifanye, kuwin mioyo ya watanzani, kingine waonyeshe kweli wana nia ya kubadirisha uhalisia wa nchi wanaouona sio sawa. Ila lia lia, kuraise vitu visivyokuwepo, ndio kunawapelekea wapigwe, wanyang'anywe na kuumizwa, namuonea huruma jongwe na yyte aliyeumizwa ila wanafanya ujinga, lini umeona trump anapigwa na polisi, kuna mtu anaongea shit kama trump, juu ya serikali, lini umeona ruto anapigwa na polisi pale Kenya, hata kama kaita yeye maandamano, chadema ni weekedness wazungu wanasema, nchi ya Tanzania ni ya amani bila kurupushani, Watumie tu akili, tunapenda kuwe na democracy,leo huyu raisi kesho Act,kesho Cuf, lakini sio kwa upuuzi chadema wanaoufanya, alot of time wanapoteza siwaelewi kusema ukweli, wenzetu vyama pinzani vinshiriki maendeleo, chadema ni kelele tu, yaani huyu anatoka chumbani kwake analianzisha.
CCm ikumbukwe nayo ipo mtaani hawaoni ccm wanachofanya, achana naserikali. Ccm kama ccm.
Wajenge nyumba, wawasaidie maskini, wapambane, waone, mfano alichofanya mwabukusi, it has sounded alot, ndio maana ammefahamika saaana wakati huu tena. He is man of his word.
Chadema inatakiwa iwe hvo. CCm na madudu yte ila ina watu inawafikia sana, ndio maana mnaiona ni unsound, ila inashinda kila siku, na itashinda milele. Na mtapoteza wanachama kila siku, tutajiunga sisi wapuuzi tusiojua chochote bali mkumbo.
Inawezekana hawajashtuka kwann magufulu alipambana apunguze vitu vya wabunge kutoka upinzani, it was the easy way to kill the effort ndio maana katamba sana.
Mnawatumia vijana ndio maana mnaona muamko, tena vijana wadogo sana. Wengi 20-28 wengi wao hata kununua unga wa mama yake hajawahi , hajui chchte kuhusu siasa, ni wafata mkumbo. Badirikeni.
Last , chama kama chadema, mnapoteza nguvu kubwa, kwa watu individual that was to deal na section yenu ya wanasheria, sio mtu kama lisu au mbowe. Hiyo mnadeal nayo kinagaubaga kwenye section ya chama ya sheria. Awadh anatajwa sana na chadema, yaani awadh anawasumbua. Kujutangaza mumpe wanasheria 20 very discouraging mbowe.
Chadema wabadirike. Mimi sio CCM, NA MTU ASINIFATE KWAMBA NIMEANDIKA KAMA CCM. ILA CHADEMA SINA MENGI SIO MWANASIASA ILA MNAFERI.😡😡😡😡🤬🤬🤬🤬
Nikiorodhesha mambo kwa google tu ambayo CCm au serikali inafanya, wallahi kama vijana mnaowatumia auu wanachama wenu wanakalishwa chini wanaelezwa kama CCm inavyofanya na. Kufanyga kwenye kampeni zake. Wallahi chadema mnatupotezea muda.
Ujenzi, misaada, kuwafikia watu, na mengi.
Nimeona umeongea mengi sana, sijui ulitaka kufikisha ujumbe gani, kwani upizani ni CDM peke yake. Umeingolea CDM kwakuwa ndiyo chama ambacho kiko front. Ningezani ungewashauri wapiganie zaidi katiba mpya yenye tija kwa uhai wa Demokrasia, siyo kuwananga, CDM ipo vizuri nyanja zote tatizo lake ni moja tu, hawezi kutoboa kutokana na mfumo wa nchi uliopo. Mpaka hivi sasa hakuna hata mwananchi mmoja wakawaida anaye jua kuwa mwaka huu kunauchaguzi.Inawezekana sijui sana ila chadema yapaswa mbadirike kwenye ungwe hii ya sias.
Chadema is a story teller, na wapuuzi wote wanaojiita wananchi na kuhuzunika na chadema mnajipotezea muda na kujitukana pasi na sababu yoyote ya maana...
Mmesha dondoka kabka ya upuuzi mliotaraji kuwalipa,kuwaletea hata chembe ya malengo yenu ovu.unawaambia ukweli lakini wataishia kupata mihemko, kushupaza shingo na kuporomosha matusi tu
Wafumbue macho na wahuni wote wa hapo kwenu.Mmesha dondoka kabka ya upuuzi mliotaraji kuwalipa,kuwaletea hata chembe ya malengo yenu ovu.
ila jamaa wanajua kusimulia mno simulizi za kubuni, kwa hilo nimependa sanaMmesha dondoka kabka ya upuuzi mliotaraji kuwalipa,kuwaletea hata chembe ya malengo yenu ovu.
Simulizi hizi sii ngeni,zinafanana 100kwa 100 na zile za misimu ile mibovu zaidi za chafuzi chafu zaidi zilizowahi tokea hapa kwetu.Hivyo hakuna cha kubuni wala maigizo ila uhalisia.ila jamaa wanajua kusimulia mno simulizi za kubuni, kwa hilo nimependa sana
I am concerned with CHADEMA Hapa, sijataka kuongelea vyama nisivyovielewa zaidi, yaani mimi niwaongelee CAF au ACT au NCCR mageuzi am i mad. Mimi nawaongelea chadema hapa, na hayo ndio maoni yangu.Nimeona umeongea mengi sana, sijui ulitaka kufikisha ujumbe gani, kwani upizani ni CDM peke yake. Umeingolea CDM kwakuwa ndiyo chama ambacho kiko front. Ningezani ungewashauri wapiganie zaidi katiba mpya yenye tija kwa uhai wa Demokrasia, siyo kuwananga, CDM ipo vizuri nyanja zote tatizo lake ni moja tu, hawezi kutoboa kutokana na mfumo wa nchi uliopo. Mpaka hivi sasa hakuna hata mwananchi mmoja wakawaida anaye jua kuwa mwaka huu kunauchaguzi.
Ndugu humo sio kukosea hilo tu, ningeweka na matusi i am very disappointed. Sasa pitia yote andika makosa ya uandishi uliyoyaona.BADIRIKENI ❌❌
BADILIKENI ✅✅
1) Elimu
2) Elimu
3) Elimu
Wewe ni mwanachama wa chadema?Simulizi hizi sii ngeni,zinafanana 100kwa 100 na zile za misimu ile mibovu zaidi za chafuzi chafu zaidi zilizowahi tokea hapa kwetu.Hivyo hakuna cha kubuni wala maigizo ila uhalisia.
Inawezekana sijui sana ila chadema yapaswa mbadirike kwenye ungwe hii ya sias.
Chadema is a story teller, na wapuuzi wote wanaojiita wananchi na kuhuzunika na chadema mnajipotezea muda na kujitukana pasi na sababu yoyote ya maana.
Kinachotakiwa ni either, kama kuna kitu hakiko sawa basi chadema wakiongoze kwa kuishauri serikali, at the same time wakifanye, kuwin mioyo ya watanzani, kingine waonyeshe kweli wana nia ya kubadirisha uhalisia wa nchi wanaouona sio sawa. Ila lia lia, kuraise vitu visivyokuwepo, ndio kunawapelekea wapigwe, wanyang'anywe na kuumizwa, namuonea huruma jongwe na yyte aliyeumizwa ila wanafanya ujinga, lini umeona trump anapigwa na polisi, kuna mtu anaongea shit kama trump, juu ya serikali, lini umeona ruto anapigwa na polisi pale Kenya, hata kama kaita yeye maandamano, chadema ni weekedness wazungu wanasema, nchi ya Tanzania ni ya amani bila kurupushani, Watumie tu akili, tunapenda kuwe na democracy,leo huyu raisi kesho Act,kesho Cuf, lakini sio kwa upuuzi chadema wanaoufanya, alot of time wanapoteza siwaelewi kusema ukweli, wenzetu vyama pinzani vinshiriki maendeleo, chadema ni kelele tu, yaani huyu anatoka chumbani kwake analianzisha.
CCm ikumbukwe nayo ipo mtaani hawaoni ccm wanachofanya, achana naserikali. Ccm kama ccm.
Wajenge nyumba, wawasaidie maskini, wapambane, waone, mfano alichofanya mwabukusi, it has sounded alot, ndio maana ammefahamika saaana wakati huu tena. He is man of his word.
Chadema inatakiwa iwe hvo. CCm na madudu yte ila ina watu inawafikia sana, ndio maana mnaiona ni unsound, ila inashinda kila siku, na itashinda milele. Na mtapoteza wanachama kila siku, tutajiunga sisi wapuuzi tusiojua chochote bali mkumbo.
Inawezekana hawajashtuka kwann magufulu alipambana apunguze vitu vya wabunge kutoka upinzani, it was the easy way to kill the effort ndio maana katamba sana.
Mnawatumia vijana ndio maana mnaona muamko, tena vijana wadogo sana. Wengi 20-28 wengi wao hata kununua unga wa mama yake hajawahi , hajui chchte kuhusu siasa, ni wafata mkumbo. Badirikeni.
Last , chama kama chadema, mnapoteza nguvu kubwa, kwa watu individual that was to deal na section yenu ya wanasheria, sio mtu kama lisu au mbowe. Hiyo mnadeal nayo kinagaubaga kwenye section ya chama ya sheria. Awadh anatajwa sana na chadema, yaani awadh anawasumbua. Kujutangaza mumpe wanasheria 20 very discouraging mbowe.
Chadema wabadirike. Mimi sio CCM, NA MTU ASINIFATE KWAMBA NIMEANDIKA KAMA CCM. ILA CHADEMA SINA MENGI SIO MWANASIASA ILA MNAFERI.😡😡😡😡🤬🤬🤬🤬
Nikiorodhesha mambo kwa google tu ambayo CCm au serikali inafanya, wallahi kama vijana mnaowatumia auu wanachama wenu wanakalishwa chini wanaelezwa kama CCm inavyofanya na. Kufanyga kwenye kampeni zake. Wallahi chadema mnatupotezea muda.
Ujenzi, misaada, kuwafikia watu, na mengi.
Bado hujaelewa siasa mkuu, before that you have to do the given. Kwa nchi kama Tanzania lazma ujitoe ushinde...ukitaka Chadema wafanye hayo unayoshauri inabidi kwanza uwapigie kura za ubunge, na udiwani, walau waongoze HALMASHAURI.
..Chadema wakiweza kuongoza Halmashauri watakuwa na fungu la mapato la kuwekeza ktk maeneo kama elimu, afya, masoko, nk.
..Katika mazingira hayo utaweza kuona tofauti kati ya utekelezaji wa SERA za Chadema kulinganisha na za Ccm.